Nifahamisheni wakuu, kudahiliwa moja kwa moja Ardhi

Lio 002

JF-Expert Member
May 10, 2014
436
66
Habar wana jf ninaomba kufahamu hivi kwa chuo cha Ardhi university hakuna option ya mtu kuweza ku apply chuo moja kwa moja chuoni bila kupitia tcu,hii ni kwa wale walio maliza diploma kutoka vyuo vingne na ambao GPA zao zpo chini kabisa ambazo hazifai kuomba kupitia tcu

2: Na je hapo ardhi university kuna program ya pre bachelor course kwa wale ambao hawana vigezo sahihi vya ufahuru?

Natanguliza shukrani zangu kwenu asanteni saana
 
Back
Top Bottom