Msaada juu ya kuanzsha kipindi cha live show kwenye televisheni

Msaada juu ya kuanzsha kipindi cha live show kwenye televisheni

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Kichwa cha habari chahusika,

Ninaomba kujuwa ni vitu gani unatakiwa kuwa navyo ili uweze kuanzsha kipindi na steps zake ni zipi na gharama zake pia ni zipi?

Asanteni sana.
 
mkuu hiyo sio diesel kwamba ina bei elekezi,so kila tv ina bei yake we andaa mahela ya kutosha ni si za njaa.
na log out.
 
Back
Top Bottom