Search results

  1. Step by step

    Natafuta dashbod show ya Carina TI

    Habari wajumbe. Yeyote aliyekata carina ti au mwenye kujua wapi ntapta vitu vifuatavyo. 1. Ac compressor ya ti carina. 2. Dashbod(ile saa complete yenye odometer, rpm na gauge ya mafuta) 3. Show yake ya dashbod maana iliyopo imekauka fundi alifungua ikakatika. Kama kuna mtu anavyo hivyo...
  2. Step by step

    Kesi ya madai ya ajali ya gari

    Kichwa cha habari cha husika. Mwaka 2020 daladala iligonga mtu na kusababisha kifo chamwanaume mmoja. Dereva akwekwa ndani, nyaraka zikapelekwa kam leseni ya dereva na cover note ya bima. Dereva akapelekwa mahakamani akahukumiwa kulipa faini ya 160, 000 akailipa nakuachiwa huru. Majuzi mke wa...
  3. Step by step

    Car4Sale Toyota Hiace 3L inauzwa

    Wakuu nauza gari tajwa hapo juu kwa pesa za kitanzania sh 14, 000, 000 japo maongezi yapo. Gari ipo Kibaha Mlandizi njoo na fundi wako ukague ukiipenda tunayajenga. Gari ni ya diesel na ni manual No 0622832331 Tuwasiliane
  4. Step by step

    Bima NHIF hospitali kubwa ni janga

    Habari wajumbe, Nijielekeze moja kwa moja kwenye changamoto iliyopo. Wiki kadhaa mtoto wangu alivunjika mkono nikampeleka MLOGANZILA akapatiwa matibabu lakini ikahitajika apatiwe ule mkanda wa kuvaa shingoni ku support POP ya mkononi. Pale hosp hawakuwa nazo na kwasababu ni hosp kubwa...
  5. Step by step

    Changamoto ya akili msaada

    Habari wanabodi. Nina hali flani ya kushtuka ninapopata taarifa ngeni, mwili unakosa nguvu, naharisha pia napata kichefchef hadi kutapika. Badavya kuchek vipimo vingi nikaonekana niko sawa hivyo nikashauriwa kuonana na wataalam wa afya ya akili. Dr wanasema ni ANXIETY hivyo wameniandikia dawa...
  6. Step by step

    Matumizi ya shanga kutengeneza shape kiunoni

    Habari wajumbe, Leo nimemtembelea rafiki angu mmoja mwenye katoto ka kike k umri wa miaka muwili. Cha ajabu nimekuta amekavalisha shanga kiunoni hako katoto kadogo baada ya kumuuliza akaniambia kuwa inasaidia kutengeneza shape. Sayansi n ufahamu wangu umegoma kabisa kukubaliana na hili. Je...
  7. Step by step

    Naomba msaada wa haya matatizo ya akili

    Habari ndugu wajumbe. Kuna hali nimekua naipitia inanivuruga kabisa. Umri wangu ni miaka 35 jinsia ni ME, shida ni kwamba ninapokua na ratiba mpya au jukumu jipya au taarifa ya kushtua ninapoipata tu afya inayumba kwa dalili zifuatazo. 1. Sitapata usingizi yani usiku hadi panakucha. 2. Napata...
  8. Step by step

    Bati kuathiriwa na vumbi la Cement linasafishwa kwa njia gani?

    Habari wajumbe. Kuna huu urembo was kisasa ambapo wanachora nguzo na madirisha kwa kutumia cement Kisha ili ikauke haraka wanamwagia VUMBI la cement. Hili VUMBI kama Kuna upepo hupaa na kuganda kwenye bati na kuifanya bati kupauka. Je, bati ikishaathirika n hili VUMBI, njia gani inaweza...
  9. Step by step

    Msaada: Ninasumbuliwa na hali ambayo siielewi

    Habari ndugu zangu. Ndugu yenu ninasumbuliwa na hali ambayo siielewi hivyo kama kuna mtu amewahi kupitia changamoto kama hii anipe muongozo. Mimi ni jinsia ME Umri 33. Ninapokuwa na ratiba mpya au jukumu lolote mbele yangu au nikipokea taarifa yeyote ya kushtua au ngeni kwangu napata hali...
  10. Step by step

    PROTIN KWENYE MKOJO

    Habari wataalam. Bibie ni mjamzito wa takribani wiki saba sasa. Alikua anajisikia homa na mafua. Baada ya kufika kituo cha afya vipimo vimeonyesha hana tatizo lolote ila hiyo protini. Naomba mawazo yenu namna ya ku handle hii issue. Ni 30mg/dl. Yuko sawa, hajavimba miguu yuko normal kabisa. Karibuni
  11. Step by step

    TATIZO LA AFYA

    Habari wakuu wangu, Najua humu kuna wataalam na wenye uzoefu mbali mbali na changamoto za afya. Naomba msaada juu ya shida hapa chini. Mimi ni ME umri wa arround 33 nani mtumishi wa umma. Changamoto yangu ni kila ninapopata taarifa mpya au safari basi naumwa kabisa. Mfano mtu anambie kesho...
  12. Step by step

    Faini za barabarani za kubambikiwa

    Habari wana bodi. Leo asubuhi nikiwa na ka baby walker kangu nimepigwa mkono na trafic. Anasema yuko kwenye ukaguzi hivyo akaingiza no kwenye mashine gari ikasoma inadaiwa 37,000. Kwenye kumbu kumbu zangu siku ilipopigwa faini hiyo gari nilikua nayo mimi na nilishinda kazini muda wote...
  13. Step by step

    Misfire kwenye engene ya ka 20(nissan datsun pickup)

    Wakuu habari, Gari tajwa hapo juu ilikua na nguvu sana ila ilianza kuua nosel moja ikawa na mis, sasa nikabadili nosel na ikawa poa kabisa. Jana imeanza tena mis plug no moja haichomi vizuri na kuna time haichomi kabisa. Fundi amejaribu kuweka plug mpya bado, amekagua fuel pump iko ok, amechek...
  14. Step by step

    NONDO MM 12 zinahitajika

    Waungwana. Ambae amejenga nondo zikabaki au alizinunua akaghairi kuzitumia tutaftane. ANGALIZO: bei yake isiwe ya dukani. Niko kibaha ila usafiri ninao mwenyewe na bei ya dukani hapa mtaani ni elf 15000 hivyo zingatia zako ziwe chini. Idadi ni kuanzia 40-70
  15. Step by step

    Wataalamu na wenye uzoefu na kipimo cha ultrasound

    Jambo wadau. Kuna mwanamke akihesabu tarehe za ujauzito wake mpaka leo ni wiki ya 27 na akiwa na wiki 8 alivyopiga utrasound ilisoma wiki 8 sawa sawa na hesabu zake za last period. Sasa kuanzia utresound ilivyosoma wiki 8 mpaka leo hii inatakiwa iwe ni wiki ya 27 lakini tumeenda kupima tena...
  16. Step by step

    Ujauzito wa wiki ishirini na mbili

    Habarini wana jf. Mke wangu ana ujauzito wa wiki ya 22 na ndio mimba yake ya kwanza hivyo sina uzoefu sana wala mwenyewe hana uzoefu. 1. Kuna mama ametuambia kuwa kipindi hiki cha ujauzito wife asinywe maji ya baridi yatasababisha mtoto azaliwe akiwa na matatizo ya kifua je pana ukweli hapa? 2...
  17. Step by step

    Mnaosali kanisa la Mikocheni B (Mlima wa moto) naombeni mnifahamishe hili

    Habarini wana bodi wenzangu. Lengo langu ni jema kabisa hivyo naomba wanaojua wanijuze bila kashfa wala ushabiki. Miaka kadhaa nyuma kupitia ch 10 kanisa la mlima wa moto lilituonyesha moja kati ya kazi zake njema linazofanya. Kupitia tv tuliona wachungaji wakienda kijiji fulani na kuwakamata...
  18. Step by step

    Msaada: Nina dozi ya Quinine na nina ujauzito!

    Wapendwa salam. Mke wangu ana ujauzito wa wiki tisa sasa. Leo tumeenda hosp kakutwa na malaria 5. Wamemuandikia sindano tatu za quinine aanze leo jioni. Naombeni wataalam mnijuze huwa hazina madhara kwa mtoto manake hata sijui cha kufanya. Wenye uzoefu na madaktari kujeni.
  19. Step by step

    Ushuhuda wangu mimi baba kijacho

    Habarini wadau. Nianze kwa kumshukuru Mungu na kuwashukuru wana Jf waliowahi kunipa mawazo na kunitia moyo. Pia niwashukuru hata wale walionitumia comment za kejeli na kunicheka.Ishu iko hivi, nilioa na kuishi na wife mwaka mmoja na miezi nane bila wife kushika ujauzito. Ilinichanganya sana...
  20. Step by step

    Je, kuna uhusiano wa kufanya sana ngono na kuwa mwembamba?

    Kichwa cha habari chajieleza. Nimeikuta mahali hii, Kuna jamaa mwembamba na hajawahi kuwa na mwili japo ana hela na kila kitu. Sasa wanamshambulia eti hanenepi kisa anahusudu sana papuchi. Je, pana ukweli hapa?
Back
Top Bottom