Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,190
- 1,324
Habari wana bodi.
Leo asubuhi nikiwa na ka baby walker kangu nimepigwa mkono na trafic.
Anasema yuko kwenye ukaguzi hivyo akaingiza no kwenye mashine gari ikasoma inadaiwa 37,000. Kwenye kumbu kumbu zangu siku ilipopigwa faini hiyo gari nilikua nayo mimi na nilishinda kazini muda wote.
Wameangalia no ya leseni sio yangu na simjui na hiyo leseni inadaiwa 195,000.
Wamriambi niilipe nimewajibu poa ila naomba msaada naepukaje hii dhuluma ya haki maana nina hakika ni wizi wa mchana