Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,160
- 1,283
Jambo wadau.
Kuna mwanamke akihesabu tarehe za ujauzito wake mpaka leo ni wiki ya 27 na akiwa na wiki 8 alivyopiga utrasound ilisoma wiki 8 sawa sawa na hesabu zake za last period.
Sasa kuanzia utresound ilivyosoma wiki 8 mpaka leo hii inatakiwa iwe ni wiki ya 27 lakini tumeenda kupima tena imesoma wiki ya 30 manake imesogeza wiki 3 mbele.
Kwa wataalam hapo natakiwa kuamini ilivyosoma mara ya kwanza au hii ya pili manake zote mbili alifanyia hosp moja