Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,160
- 1,283
Wapendwa salam.
Mke wangu ana ujauzito wa wiki tisa sasa. Leo tumeenda hosp kakutwa na malaria 5.
Wamemuandikia sindano tatu za quinine aanze leo jioni.
Naombeni wataalam mnijuze huwa hazina madhara kwa mtoto manake hata sijui cha kufanya.
Wenye uzoefu na madaktari kujeni.