NONDO MM 12 zinahitajika

Step by step

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
1,164
1,293
Waungwana.
Ambae amejenga nondo zikabaki au alizinunua akaghairi kuzitumia tutaftane.
ANGALIZO: bei yake isiwe ya dukani. Niko kibaha ila usafiri ninao mwenyewe na bei ya dukani hapa mtaani ni elf 15000 hivyo zingatia zako ziwe chini. Idadi ni kuanzia 40-70
 
Ukija PM au hata hapa hapa barazani biashara inafanyika lengo ni kupunguza garama za ujenzi
 
Back
Top Bottom