Search results

  1. HadithiZaRuvuly

    Kama BINADAM tungekuwa na UPENDO kama wa NJIWA usaliti ungekuwepo ?

    Natoa mfano jamani msinitafsiri vibaya kwa sababu huu mtandao unamajibu ya ajabu ajabu, Lakini ukweli njiwa ni ndege ambao wanaupendo wa dhati na ukweli. [emoji117] Wanatembea pamoja [emoji117] Popote wanaenda pamoja Na mengine mengi kweli njiwa ni mfano bora duniani.
  2. HadithiZaRuvuly

    CHEKA UONGEZE SIKU ZA KUISHI

    Chizi amefiwa na nduguye watu wote wakawa wanalia yeye ameinama tuu! Jamaa wakamuliza wewe vipi humlili nduguyo? Akajibu nalia ila nimeweka vibration [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. HadithiZaRuvuly

    MDUDU HATARI. soma vizuri alafu share ili kuokoa maisha yetu.

    Jamani kuna mdudu (anafanana na mnyoo) anaye kaa kwenye mboga za majani pia huyo mdudu hafi kwa kupikwa unashauriwa kuosha mboga za majani kwa chumvi na maji ya uvuguvugu maana ni mdogo anaganda kwenye mboga hizo za majani kama konokono na ana umbo dogo ila akiingia tumboni anakuwa haraka...
  4. HadithiZaRuvuly

    Je, kufeli shule ni kufeli maisha?

    Nimesikia kauli nyingi zikitamka kwamba ukifeli shule ndio umefeli maisha hivi kauli hii unaichambua vip
  5. HadithiZaRuvuly

    Unampenda mtoto yupi wa kike au wakiume ?

    Ukweli usemwe na kila mtu upenzi wake katika suala la watoto japo mungu anakupa mtoto anaemtaka yeye na ni majaliwa pia. Wewe unampenda mtoto wa jinsia gani na kwanini ??
  6. HadithiZaRuvuly

    True heart

    [emoji7]Story[emoji117] TRUE HEART [emoji7]Mtunzi [emoji117]Ochu ruvuly [emoji112]Contact[emoji117] 0762374269 ( sehemu 1 ) Ilikuwa ni asubuhi yenye baridi kali, mvua zenye upepo mkali zilitawala majira hayo. Ilikuwa ni furaha kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo kwani walizidisha shuka lingine na...
  7. HadithiZaRuvuly

    NANI MWENYE MAKOSA MKE AU MUME ?

    Wewe ni baba mwenye watoto watatu, siku moja ukiwa unaenda kazini njiani ukapata ajali, watu wema wakakupeleka hospital. Unapata fahamu unajikuta upo hospital ukiwa juu ya kitanda wakati unajiuliza kimetokea nini daktari anakuja kuendeleza huduma, Ukamuuliza daktar kilichotokea kwako akasema...
  8. HadithiZaRuvuly

    Msaada huu ni ugonjwa gani

    Habari kuna rafiki yangu anaumwa ugonjwa huu leo imepita mwezi . Tumienda nae hospital wakampima wakasema ana minyoo ya aina mbili :- [emoji117] MINYOO YA AMIBA [emoji117] MINYOO YA KICHOCHO Tume tumia dawa za minyoo hiyo lakini wapi haijasaidia kitu. Tukarudi tena wakampa dawa ya allergy...
  9. HadithiZaRuvuly

    Nini hasa kinasababisha Mwanamke Kutoa mimba?

    Idadi ya wanawake wakatili wanaoua viumbe vilivyoridhiwa na mungu (kutoa mimba) inazidi kukua swali ni je sababu inayofanya watoe mimba ni kutokana na UGUMU wa MAISHA au WANAUME waliowapatia mimba hizo ?
  10. HadithiZaRuvuly

    Binadam katokana na Sokwe

    Vitabu vyote shuleni vinathibitisha hilo kwamba sisi binadamu tumetokana na sokwe je maneno haya ni kweli ?
  11. HadithiZaRuvuly

    Mwanamke mwema

    Hivi mwanamke bora na mwenye unamjuaje ? [emoji117] Kwa kumuangalia tu ; [emoji117] Au kuna njia nyingine inayotumika ili kugundua kama ni mwanamke bora ?
  12. HadithiZaRuvuly

    Fanya biashara na mimi

    Biashara ni moja ya nguzo muhim sana katika maisha tafadhali tujenge msingi bora kwa maisha yetu. [emoji117] Ruvuly De finisher - Community - Google+
  13. HadithiZaRuvuly

    Kipi ni muhimu katika maisha kati ya pesa na elimu?

    Kati ya PESA na ELIMU kipi ni kitu cha msingi katika maisha yetu na kwanini ?
  14. HadithiZaRuvuly

    TATIZO NI NINI ?

    Tatizo la ubakaji linazidi kukua kila siku watoto wenye umri mdogo wanabakwa na watu wazima tatizo huwa ni nini ? [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] <br />
  15. HadithiZaRuvuly

    Kuongezeka kwa matukio ya Ubakaji, Chanzo ni nini ?

    Tatizo la ubakaji linazidi kukua kila siku watoto wenye umri mdogo wanabakwa na watu wazima tatizo huwa ni nini ? [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
  16. HadithiZaRuvuly

    Who's the really lion?

    [emoji117] DIAMOND PLATNUMZ [emoji117] MR BLUE
  17. HadithiZaRuvuly

    Pendo la kweli linajali Pesa au Moyo?

    Ndugu jamaa na rafiki napenda kuuliza jambo kuhusu mahusiano eti mapenzi ya kweli ni [emoji117] PESA [emoji117] MOYO ??
  18. HadithiZaRuvuly

    Nani huanza usaliti kati ya mwanamke na mwanaume?

    Inafahanika kwamba mapenzi ndio mzizi bora katika dunia na hakuna anaependa kusalitiwa. Sasa je katika mahusiano nani huwa anaanza usaliti kati ya MWANAMKE na MWANAUME ???
  19. HadithiZaRuvuly

    Naomba ushirikiano

    Ndugu zangu mimi ni member mpya katika application hii ningependa kuomba jinsi ya kutumia kwa sababu inavitu vingi mno
  20. HadithiZaRuvuly

    Simulizi: Have nine day

    [emoji187] Story [emoji654] TRUE HEART [emoji187] Mtunzi [emoji654] Ochu ruvuly [emoji338] Whtsapp [emoji654] 0762374269 [emoji102][emoji102][emoji102] { sehemu 3 } [emoji102][emoji102][emoji102] Tunaendelea........ Nilichukua panga lile na kuangamiza wale wanaume wote, nikamshika mkono mtoto...
Back
Top Bottom