Kama BINADAM tungekuwa na UPENDO kama wa NJIWA usaliti ungekuwepo ?

RUVULY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
369
250
Natoa mfano jamani msinitafsiri vibaya kwa sababu huu mtandao unamajibu ya ajabu ajabu, Lakini ukweli njiwa ni ndege ambao wanaupendo wa dhati na ukweli.
Wanatembea pamoja
Popote wanaenda pamoja
Na mengine mengi kweli njiwa ni mfano bora duniani.
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,689
2,000
Usaliti upo toka enzi na enzi ni kitu imeumbwa hivi na MUNGU.. Ukitaka kuniamini angalia HISTORIA ya viongozi WA kiroho huko nyuma wote Walikuwa na wake hata WA nne.njiwa wenyewe wamejaliwa hio neema.. Tungekuwa na Nia ya kutokuwa na super michepuko kama njiwa kungekuwa na Usaliti kidogo tu
 
Et kidogo
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,311
2,000
Unaweza kuta nao wana usaliti, sema tu haijawa documented. Nani anakumbuka hii ya penguin alivyofumania, akala kichapo mpaka kuwa kipofu, na bado manzi wake akauchagua mchepuko...So sad.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom