HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
[emoji187] Story [emoji654] TRUE HEART
[emoji187] Mtunzi [emoji654] Ochu ruvuly
[emoji338] Whtsapp [emoji654] 0762374269
[emoji102][emoji102][emoji102] { sehemu 3 } [emoji102][emoji102][emoji102]
Tunaendelea........
Nilichukua panga lile na kuangamiza wale wanaume wote, nikamshika mkono mtoto wa shangazi na kukimbia nae. Tulitoroka usiku huo wa giza nene bila woga wowote njiani wakati tunakimbia na mtoto wa shangazi, alikanyaga pembezoni mwa mto uliokuwa maeneo yale nilimshika mkono lakini niliishiwa nguvu nikashindwa kuendelea kumshika akadumbukia kwenye mto [emoji370][emoji370]
Nilibaki namwita huku nikilia kwa huzuni baada ya muda nilinyanyuka pale na kuendelea na safari, nilikuwa natembea tu na sijui naenda wapi nilitembea kwa muda mrefu sana hatimae nilichoka nikapumzika chini ya mti , mvua ilinyesha sana baada ya muda sijui kilitokea nini ndipo nimejikuta nipo hapa [emoji546][emoji546]
Duuuuuh[emoji769] ni sauti ya mzee omary iliashiria huzuni na maumini. Mzee omary alimwangalia kijana azmath kisha akasema Azmath unataka kurudi kwa shangazi yako ?, Azmath alipinga na na hakupenda kurudi kule, aliomba abaki kwa mzee huyo. Mzee omary na mkewe hawakubahatika kupata mtoto maishani mwao, kwahiyo ilikuwa ni furaha kwa mzee huyo kupata mjukuu .[emoji105][emoji105]
Katika eneo hilo kulikuwa na chief wa kijiji hicho, #Chief_ntaba alikuwa na mke na watoto wawili mtoto wa kiume na mtoto wa kike , siku hiyo hiyo chief ntaba na familia yake walikuwa wakizunguka katika maeneo tofauti tofauti pale kijijini kutokana na umbali mrefu ilibidi wapumzike.[emoji429][emoji429]
Walipumzika kando kando ya mto ili kujipatia upepo mwanana, walinzi wa chief huyo walizunguka maeneo mbali mbali ili kuimarisha ulinzi , mlinzi mmoja alimwona mtoto akiwa amelala pembezoni kidogo mwa mto huo alimchua mtoto huyo na kumpeleka kwa chief, chief alimkagua dalili zilionesha mtoto kafariki chief alitoa amri kwa huzuni kuwa mtoto azikwe chief alikuwa ni kipenzi cha watoto. [emoji469][emoji469]
Lakini wakati chief anainuka alistajabu kuona mtoto huyo ameshika vazi lake, papo hapo ghafla mtoto huyo alikohoa kuashiria kuwa ni mzima chief alifurahi sana kisha.........[emoji622][emoji622]
Usikose sehemu4 maoni na ushauri ni muhim ahsanteni
Ochu ruvuly