Search results

  1. Kamamaa

    SoC01 Mfungwa sio mnyama, alipwe, alipe kodi

    Kuajiriwa inawezekana na ipo nchi nyingi duniani. Hulipwa mishahara na fedha huifadhiwa katika akaunti maalumu. Pia ni walipa kodi katika mataifa hayo.
  2. Kamamaa

    SoC01 Mfungwa sio mnyama, alipwe, alipe kodi

    Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha. Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...
  3. Kamamaa

    SoC01 Jamii ya wala rushwa ndio inatengeneza viongozi wala rushwa

    Rushwa. Kila mmoja anapozungumza huona huonekana kama kitu kilichopo mbali sana naye. Mara nyingi inapozungumzwa rushwa inawahusu vigogo au watu walio na nyadhifa katika taasisi mbalimbali. Inawezekana kuwa sahihi lakini ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wanajamii ndio wanaotengeneza viongozi...
  4. Kamamaa

    Ninauza Ovena kwa bei rahisi

    Ovena ni nini au ndio jiko la Oven.Picha haifunguki nataka kuiona
  5. Kamamaa

    Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

    Wapo Watanzania walienda course mbalimbali huko
  6. Kamamaa

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Ukitazama kijuujuu utaona hawana sifa. Wapo ambao tunawaona legelege na wa hovyo kabisa...pengine utawala uliopita uliwalazimisha kuwa hivyo. Kwa usimamizi wa Magufuli naamini wanaweza kuwa watendaji wazuri. Rejea (jamii ya wala rushwa hupata viongozi wala rushwa)
  7. Kamamaa

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Waziri Mkuu lazima awe mbunge wa jimbo sio wakuteuliwa
  8. Kamamaa

    Serikali yalaani maoni ya Mhariri wa gazeti Mwananchi

    Maskini serikali yangu imeshikwa pabaya. Ni aibu kusikia wanatetea eti wameweza kudhibiti rushwa. Labda hawajui hata hospitali ili upate panadol lazima utoe buku. Rushwa ndogondogo na kubwa zimewafikisha magamba hapa na sio kingine.
  9. Kamamaa

    Tigopesa ni kwanini mnatunyanyasa hivyo?

    Nimewahi kupata tatizo hilo watakurudishia tu sema inachukua muda mpaka wajiridhishe kuwa ulituma kwa bahati mbaya kweli kwasababu kumekuwa na utapeli watu wanalipa halafu wanasema wamekosea.vumilia
  10. Kamamaa

    Kwanini wasichana/wanawake wengi upenda kubeba mikoba mikubwa kila siku, mahali popote ?

    Kwenye madaladala makonda wanalalamika mikoba inajaza nafasi, wanaanda muswada ili ikiwezekana mahandbag nayo yalipiwe nauli:wink2::wink2:
  11. Kamamaa

    Ngurumo ya maalim Seif yafadhaisha wengi London

    Watu kama hawa ndio wasioitakia nchi mema, lolote litakalo tokea wataumia waliopo na si wao...nafikiri waliache hili suala na wao waendelee kutafuta maisha huko mbele ya safari
  12. Kamamaa

    Lies we love to tell

    I do agree that kuna wakati tunatakiwa kudanganya ili mambo yaende sawa but kuna watu wanaishi uongo yaani kila litokalo mdomoni mwake ni la uongo sasa huyu nae sijui yupo kwenye kundi gani?
Back
Top Bottom