Search results

  1. mashikolomageni

    Mgomo wa makuli bandari za mwanza south na north

    Kumekuwepo mgomo wa poters kwenye bandari zote za Mwanza. (Mwz North Port & Mwz South Port) tangu leo 31/08/2013 asubuhi. Sababu ni kupinga utaratibu wa TPA ambao ni vibarua wanatakiwa kuajiriwa na TPA badala ya wao kuwa chini ya umoja wao kama ilivyokuwa siku za nyuma. Kunauwezekano mkubwa...
  2. mashikolomageni

    Kamanda Kenyela na kutimiza majukumu yake

    Katika habari ya ITV saa 2 usiku afande Kenyela amepewa Nishani ya kulitumikia jeshi la polisi. Alipohojiwa amesema ataendelea kufanya kazi kutokana na maagizo ya "viongozi wake" nimejiuliza vipi afanye kazi kutokana na maagizo ya viongozi wake na si kwa MUJIBU WA SHERIA? Au ndo maagizoya akina...
  3. mashikolomageni

    Musiba, Cyprian Afunguka kuhusu madhambi ya CCM

    Mwandishi wa habari Cyprian Musiba amefunguka na kulaani matumizi makubwa ya Rushwa na maovu mengine kipitia ukuta wake wa sura kitabu. Cyprian Majura MusibaTANURU LA FIKRA Sambala Nakushukuru.. Inasikitisha kuona Vijana wa sasa tena wengi wao watoto wa maskini kama mimi wanatetea...
  4. mashikolomageni

    Matatizo Nyumbani

    Haya yalikuwa ni mazungumzo ya mume na mke kwenye simu. Mke: Hallo mume wangu, Mume: Sema mama watoto. Mke: Huku nyumban kuna matatizo. Mume: Hayo ni matatizo yako. Mke: Housegirl wetu anamimba. Mume: Hayo ni matatizo yake, Mke: Kasema hiyo mimba ni ya kwako, Mume: Hayo ni matatizo yangu...
  5. mashikolomageni

    Japhet M Kayungi is no more

    Aliyekuwa Mshauri wa Uvuvi Mkoa wa Kagera hadi 2007 Japhet M. Kayungi (1947-2011) amefariki leo katika hospitali ya Mugana Bukoba(V) alikokuwa anapatiwa matibabu. Kayungi atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kulinda mazingira ya Ziwa Victoria kwa nguvu zake zote wakati akiwa mtumishi wa...
  6. mashikolomageni

    Mdahalo chuo cha kumb ya mwl nyerere 14/10/2011

    Wana JF salam, Katika kuadhimisha kumbukumbu ya kifo ha Baba wa Taifa Mwl Nyerere, kutakuwa na mdahalo kesho tarehe 14/10/2011 kuanzia saa (9:00am) 3:00 asubuhi kwenye ukumbu wa Utamaduni, mada itakuwa; "UONGOZI WETU NA MSTAKABALI WA TANZANIA, NAFASI YA VIJANA KATIKA MAENDELEO YA TAIFA."...
  7. mashikolomageni

    Matumizi mabaya ya mali za umma

    hebu jionee mwenyewe gali la serikali likiwa na namba za bandia ili lifanye kazi zisizo za kiserikali haya ni matumizi mabaya ya mali za umma
  8. mashikolomageni

    Romance mathematics

    ROMANCE MATHEMATICS Smart man + smart woman = romance Smart man + dumb woman = affair Dumb man + smart woman = marriage Dumb man + dumb woman = pregnancy OFFICE ARITHMETIC Smart boss + smart employee = profit Smart boss + dumb employee = production Dumb boss + smart...
  9. mashikolomageni

    MSAADA; vitabu After 4:30 na MyDear Botlle vya David Mailu

    wana JF naomba msaada wa kupata vitabu hivi vya mwanaharakati wa kenya nakumbuka nilivisoma zamani lakini kwa sasa vinaweza kuwa na maana kwa maisha yetu watanzania hata kama kuna mwenye soft copy tuwekee hapa. Nakumbuka pia vilikuwa vimezuiliwa Tz enzi za baba wa taifa.
  10. mashikolomageni

    Nape na Waraka wa Kuituhumu CDM

    Hii nimekutana nayo FB ikanistua sana nimeona niilete hapa kwa great thinkers tuijadili na mwenye habari zaidi atupashe I York David Drexell ANGALIZO HATARI KWA WATANZANIA WOTE POPOTE PALE WALIPO; Watanzania wote kwa ujumla wetu, wakubwa kwa wadogo, wanaharakati, asasi binafsi na za...
  11. mashikolomageni

    Dunia hii kwani ni yako!!!!!!!!!

    Hivi dunia hii ni yako au umekodi? Asubuhi umeamka hukusali, mchana umepita hukumshukuru MUNGU na usi ku huu unataka kulala bila kuomba, hebu amka usali ndipo ulale.
  12. mashikolomageni

    Dr. Salim Ahmed Salim, Jaji Warioba Kuuguruma Kivukoni

    Sasa hivi uzinduzi wa Sherehe ya miaka 50 umeshafanyika muda mchache iliopita na aliyezindua ni Dr. Salim na sasa sikinde wanatoa burudani! Tunategemea Jaji WArioba ambaye yuko hapa baadaye ataongoza Mdahalo mada inahusu MCHANGO WA CHUOCHA KUMBUKUMBU YA MWL. NYERERE KATIKA NCHI YA TANZANIA.
  13. mashikolomageni

    Rais wetu anapokuwa hapatikani kutoa maamuzi

    Wadau nataka kufahamu hii imekaaje jana PM. Mizengo Pinda anatangazia umma kuwa ameshindwa kuwasiliana na Rais kwa sababu yuko angani hapa inatia shaka inakuwaje Rais anaporuka kwenye Gulfstream 55 anakuwa hana hot line ya kuzungumza na wateule wake aliowaachia kuongoza nchi? Nijuavyo mtu kama...
  14. mashikolomageni

    Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere -CCM washindwa Urais

    Katika muendelezo wa ccm kukataliwa na wanavyuo vya elimu ya Juu kada wa ccm Mahendeka Nsena ameangushwa vibaya kwenye uchaguzi wa raisi wa serikali ya wanafunzi MASO kwenye uchaguzi uliofanyika leo, Mshindi ni Ndg. Chacha Nchangwa ambaye alikuwa akiungwa mkono na wana CDM. Peoplezzzzzzzzzzz...
  15. mashikolomageni

    Harambee ya ujenzi wa kanisa

    Kanisa moja liliendesha harambee ya ujenzi waumini wakachangia hela ilipohesabiwa ikapatikana laki saba na hamsini elf na mia tano hamsini. Wakati pastor anashukuru kwa matoleo majambazi yakaingia yakaanza kuwasachi waumini ikapatikana milioni kumi na sita..! Majambazi yakampatia pastor kama...
  16. mashikolomageni

    Bia ni bora kuliko mwanamke

    Sababu 6 kwanini bia ni bora kuliko mwanamke 1. Ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza (haina mapozi) 2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii. (haina wivu) 3. Unapoagiza bia una uhakika wewe ndio wa kwanza kuifungua (huwa bikira) 4. Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila...
  17. mashikolomageni

    padre na waumini

    Padre kauliza Waumini, PADRE: Ni kiungo gani cha mwili hupatikana katika sehemu iliyofichama, kina wingi wa unyevunyevu, kinaweza kufanya ndoa iwe imara sana au kuyumba? WAUMINI: Kimya huku wameinamisha vichwa vyao chini, PADRE: Inukeni niwaonyeshe, ni hiki akagusa ULIMI, Wana JF Mlifikiri ni nini?
  18. mashikolomageni

    Vituko vya Mwarabu Mahakamani

    Mwarabu na Mhindi wameshtakiwa mahakamani kwa kosa la kunywa Gongo. Mhindi akakiri kosa akalipa faini na kuachiwa Mwarabu akajibu "Siku yote phombe kharam sasa takunywa namna gani kharam?" Hakim akamwambia askari "mpe chai huyo". Mwarabu hakujua akashtukia kofi mpaka chini. Alipoinuka nae...
  19. mashikolomageni

    Wasira kwenye kashfa ya dawa za pamba

    Wadau wa pamba wamenipatia taarifa kuwa, moja ya kampuni iliyoingiza dawa za kuua wadudu wanaoharibu pamba na dawa hiyo kugundulika ni hafifu(Fake) inamilikiwa na aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula Bw. Stephen Wasira. Naingia kwa udani kupata facts hizo. nitarudi nazo
  20. mashikolomageni

    Wale wa Ihungo tujikumbushe

    Salaam jamani wale tulipitia Pale St. Thomas Miaka ya 80 na 90 mko wapi makumbuka Mabig, Njoge, Calico, walimu walikuwepo akina Seko, Ishemoi, Mushema, Kebi, Marehemu Agai, Temalirwa aka za kifua chonya na wengineo. wanafunzi Bukwimba, Kagito, maitalya, mutungi, komwihangiro, Fredy Puff, joe...
Back
Top Bottom