Harambee ya ujenzi wa kanisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harambee ya ujenzi wa kanisa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mashikolomageni, Mar 21, 2011.

 1. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kanisa moja liliendesha harambee ya ujenzi waumini wakachangia hela ilipohesabiwa ikapatikana laki saba na hamsini elf na mia tano hamsini. Wakati pastor anashukuru kwa matoleo majambazi yakaingia yakaanza kuwasachi waumini ikapatikana milioni kumi na sita..! Majambazi yakampatia pastor kama mchango wao! Je ungekuwa wewe ndo pastor ungeelewaje na ungefanyaje?
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  makubwa,hapo yaani hata sijui itakuaje!
   
 3. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mh! Hapo inahitajika hekima ya mfalme Suleiman
   
 4. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wametumwa na Mungu ili kukomesha waumoni ambao hawataki kuchangia kanisa
   
Loading...