mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 193
Haya yalikuwa ni mazungumzo ya mume na mke kwenye simu.
Mke: Hallo mume wangu,
Mume: Sema mama watoto.
Mke: Huku nyumban kuna matatizo.
Mume: Hayo ni matatizo yako.
Mke: Housegirl wetu anamimba.
Mume: Hayo ni matatizo yake,
Mke: Kasema hiyo mimba ni ya kwako,
Mume: Hayo ni matatizo yangu nitasolve mwenyewe,
Mke: Hallo mume wangu,
Mume: Sema mama watoto.
Mke: Huku nyumban kuna matatizo.
Mume: Hayo ni matatizo yako.
Mke: Housegirl wetu anamimba.
Mume: Hayo ni matatizo yake,
Mke: Kasema hiyo mimba ni ya kwako,
Mume: Hayo ni matatizo yangu nitasolve mwenyewe,