Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwl Nyerere -CCM washindwa Urais

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,570
187
Katika muendelezo wa ccm kukataliwa na wanavyuo vya elimu ya Juu kada wa ccm Mahendeka Nsena ameangushwa vibaya kwenye uchaguzi wa raisi wa serikali ya wanafunzi MASO kwenye uchaguzi uliofanyika leo, Mshindi ni Ndg. Chacha Nchangwa ambaye alikuwa akiungwa mkono na wana CDM.
Peoplezzzzzzzzzzz Power inaendelea kuonekana
 
Back
Top Bottom