Dunia hii kwani ni yako!!!!!!!!!

Dunia hii kwani ni yako!!!!!!!!!

mashikolomageni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Posts
1,570
Reaction score
193
Hivi dunia hii ni yako au umekodi? Asubuhi umeamka hukusali, mchana umepita hukumshukuru MUNGU na usi ku huu unataka kulala bila kuomba, hebu amka usali ndipo ulale.
 
Kitu ukiwa umekodi si inamaana umekilipia sasa hayo mengine ya nini si nimetoa hela yangu
Hebu anza vizuri.
 
Hivi dunia hii ni yako au umekodi? Asubuhi umeamka hukusali, mchana umepita hukumshukuru MUNGU na usi ku huu unataka kulala bila kuomba, hebu amka usali ndipo ulale.
<br />
<br />
Ee Mwenyezi Mungu nakuomba unilinde na uniepushe na kila lililo baya usiku huu, na siku zote katika jina la Yesu
 
Back
Top Bottom