Wasira kwenye kashfa ya dawa za pamba

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,570
187
Wadau wa pamba wamenipatia taarifa kuwa, moja ya kampuni iliyoingiza dawa za kuua wadudu wanaoharibu pamba na dawa hiyo kugundulika ni hafifu(Fake) inamilikiwa na aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula Bw. Stephen Wasira. Naingia kwa udani kupata facts hizo. nitarudi nazo
 
Mkuu ahsante kwa taarifa lakini anzia hapo kwenye maandisi mekundu kupata facts, ninavyojua huyu jamaa yuko wizara nyingine awamu hii. Labda enzi hizo alipokuwa waziri wa wizara uliyotaja.
 
Imeandikwa aliyekuwa.........
 
Na uso wote ule anaiba alidhani hatutammulika na tochi? Hebu weka hizo facts hapa ili tujridhishe then tumpe tamko la kujipima kama aendelee na uwaziri au aakae pembeni? ndo maana alikuwa na hofu sana na PEOPLES POWER ilipokuwa kanda ya ziwa kwenye PAMBA!!
 
Mkuu ahsante kwa taarifa lakini anzia hapo kwenye maandisi mekundu kupata facts, ninavyojua huyu jamaa yuko wizara nyingine awamu hii. Labda enzi hizo alipokuwa waziri wa wizara uliyotaja.

Lakini ameandika na aliyekuwa waziri wa chakula na kilimo kwa hiyo sioni kosa lake.
Mkuu naomba tafuta hizo nyeti tumpatie Dr Slaa amlipue huyu jamaa (Wasira) mwenye roho mbaya kama sura yake.
 
Wadau wa pamba wamenipatia taarifa kuwa, moja ya kampuni iliyoingiza dawa za kuua wadudu wanaoharibu pamba na dawa hiyo kugundulika ni hafifu(Fake) inamilikiwa na aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula Bw. Stephen Wasira. Naingia kwa udani kupata facts hizo. nitarudi nazo

Sishangai kusikia madudu kama hayo maana huyu jamaa nasikia akiwa Wizarani hapo aliunda kampuni kwa kila aina ya kazi. Hayo madawa pamoja na mbolea za wachina ziliwahi kusambazwa hata bila kujalibiwa na kupitishwa na TPRI!
 
Mkuu ahsante kwa taarifa lakini anzia hapo kwenye maandisi mekundu kupata facts, ninavyojua huyu jamaa yuko wizara nyingine awamu hii. Labda enzi hizo alipokuwa waziri wa wizara uliyotaja.

ndo maana kasema ALIYEKUWA
 
Kwanini marafiki wote wa Kikwete ni watu wenye kashfa za wizi na uhujumu wa Uchumi wetu?? au yeye pia ni miongoni mwao!!
 
Tuansubiri ahadi ya aliye-post hii thread ya kurudi na data. Mie naogopa ku-jump kwenye conclusion. Navuta subira
 
Wadau wa pamba wamenipatia taarifa kuwa, moja ya kampuni iliyoingiza dawa za kuua wadudu wanaoharibu pamba na dawa hiyo kugundulika ni hafifu(Fake) inamilikiwa na aliyekuwa Waziri wa Kilimo na Chakula Bw. Stephen Wasira. Naingia kwa udani kupata facts hizo. nitarudi nazo

Ukisikia huu ndio Udaka..No Source, no Company Name..Hivi Dr. Slaa angemuacha huyu siku zote hizo Kweli..Wewe usifanye JF isije ikawa Dampo la UDAKU, TuLetee Facts kabla ya Yote!!
 
Hakuna udaku wasira aliipora
Bodi yenye mamlaka ya dawa ipi na nani asambaze, alitoa waraka kuhamisha mamlaka hayo kwa maDC wasio na utaalam lengo kubwa ilikuwa kuvuna 8.5b za serikali kama ruzuku ya pembejeo 2009/10.
 
Kwanini marafiki wote wa Kikwete ni watu wenye kashfa za wizi na uhujumu wa Uchumi wetu?? au yeye pia ni miongoni mwao!!

Arafat, kwani hujui? The guy was on the list of shame kati ya wale waliotajwa pale Mwembeyanga!!!! He is not clean and all the people around him are not clean either!!!!

Tiba
 
Hakuna udaku wasira aliipora
Bodi yenye mamlaka ya dawa ipi na nani asambaze, alitoa waraka kuhamisha mamlaka hayo kwa maDC wasio na utaalam lengo kubwa ilikuwa kuvuna 8.5b za serikali kama ruzuku ya pembejeo 2009/10.

Wewe unatuchanganya tu..Sentensi hiyo moja dawa alafu unaita ni pembejeo alafu kuvuna 8.5BN na kama takwimu..Uepesi huu Hatuwezi kuukubali Sababu Wizara Nyingi hupitisha Bajeti Mawilayani..Sijaona Point kuwa Kashfa ya huyu Mkuu, Dr. Slaa asingemuacha Sababu Wasira kamlima sana Slaa wakati wa Uchaguzi Mkuu..Na Kaenda Jimboni Bunda (Asingeiacha hiyo ya Pamba ukizingatia Pamba hulimwa huko Huko)..Na Challenge Credibility ili kulinda heshima ya Jamii forum
 
tanzanian-president.jpg

World Economic Forum 2011
Tutizame jinsi Tanzania inavyowakilishwa kwenye mikutano ya kimataifa bila kujitayarisha vilivyo hata kwenye KILIMO KWANZA kama ilivyo ktk clip hii link hapo chini hivyo kuingizwa mkenge kwenye kashfa ni rahisi mno kwa viongozi wetu, tizama walivyo wanyonge kwa kujenga hoja na hata kujibu maswali:
http://www.livestream.com/worldeconomicforum
-bonyeza:press conference
-Chagua video titled: Davos 2011 Launch of new vision for agriculture.

Hapa tunaona mabosi wa kampuni Monsanto wakiwa high-table kuchagiza 'ubora' wa mbegu zisizo asilia yaani GM seeds (Genetically modified seeds) kwa kilimo 'bora' pia matumizi ya dawa za pembejeo (pesticides) kuendana na kilimo-GM.

Nchini India wakulima wa pamba na wanaharakati wa huko India wanalaani kilimo cha kutumia mbegu-zisizo-asilia (GM seeds) kuwa kimewafanya wawe tegemezi wa mbegu toka makampuni ya nje kiasi cha kuwaongezea gharama za kilimo na ulazima wa kutumia madawa toka makampuni makubwa ya toka nchi za magharibi.

Kwa maneno mengine ni ukoloni mamboleo, vipi mkulima utumie mbegu-zisizo-asilia za mahindi na ukivuna hayo mahindi kuwezi kutumia mbegu zake kwa msimu ufuatao.

Tukumbuke Henry Kissinger waziri wa mambo ya nje wa Marekani alipata kusema ''Control Oil You Contol Nations, Control Food You Control People'' mwisho wa nukuu.

Naona hapa dhahiri Mh. Raisi anaburuzwa na kubabaika hakuwa na sera thabiti iliyokwisha amuliwa Tanzania kabla hajahudhuria kikao hiki. Kwa uchache mifano ya serikali za India na Mexico zinapinga kilimo cha kutumia GM products kwani kinazifanya nchi hizo kusarenda uhuru wao ktk masuala ya kilimo kwa makampuni kama Monsanto Opponents to sue over Monsanto alfalfa crop - Oregon Business.
 
Arafat, kwani hujui? The guy was on the list of shame kati ya wale waliotajwa pale Mwembeyanga!!!! He is not clean and all the people around him are not clean either!!!!

Tiba

You must be kidding..hakuwa na this guy (Nyerere Type) labda anamzidi Mizengo Pinda mwenye Mil 25, otherwise List of Shame ipo iwekwe-- Wasira hayumo ktk List na anakuwa mwiba sababu he brought Tarime back..We need facts sio just defaming People kama chipukizi wa Siasa zetu..facts wanted
 
Back
Top Bottom