Vituko vya Mwarabu Mahakamani

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,570
187
Mwarabu na Mhindi wameshtakiwa mahakamani kwa kosa la kunywa Gongo. Mhindi akakiri kosa akalipa faini na kuachiwa Mwarabu akajibu "Siku yote phombe kharam sasa takunywa namna gani kharam?" Hakim akamwambia askari "mpe chai huyo". Mwarabu hakujua akashtukia kofi mpaka chini. Alipoinuka nae akamshindilia askari ngumi mpaka chini. Hakim akamuuliza "Wewe kwanini unapiga askari?" Mwarabu akijibu "Yeye manipa miye chai, miye narudisha yeye kikombe"
 
Back
Top Bottom