Search results

  1. Sumbalawinyo

    Ni mwanamke gani humu JF unayemzimia zaidi?

    Mi nimegota kwa cacico wewe je?
  2. Sumbalawinyo

    Mungu ndani ya jela

    Baniani mmoja alikuwa jela na sanamu wake wa kuabudu;kila siku akawa ana iabudu na kuiomba atoke jela. Kwenye chumba hicho hicho kulikuwa na muislam naye akawa anasali na kumuomba mungu atoke jela. Siku moja muislam akaachiliwa huru.Wakati anatoka baniani akamuuliza,"Vipi,wewe nafanyaje mpaka...
  3. Sumbalawinyo

    Nunda zaidi ya ujuavyo

    Baba:Mwanangu leo nakupa radhi, nakuvulia nguo maana hutaki kuacha kuvuta bangi! Mtoto:we we we we ukivua tu nakuf*ra
  4. Sumbalawinyo

    House girl kaniandikia barua ya mapenzi

    Wife yuko mkoani kwa ajili ya kujifungua. Tuliamua aende huko kwa kuwa ni uzazi wake wa kwanza na hapa mjini hatuna ndugu wa kuweza kusaidia mambo ya kumkanda, kumpikia na huduma nyingine kwa mama mzazi. Akiwa anajiandaa kuondoka, tuliletewa kasichana kadogo ka kazi umri miaka 16. Kwa kweli...
  5. Sumbalawinyo

    Kabila gani wanahusudu pombe zaidi?

    Wachagga, Wasukuma, Wakurya au? Tujadili pombe za makabila mbalimbali na stimu zake
  6. Sumbalawinyo

    MJINGAMJINGA wa wiki

    MJINGAMJINGA wa WIKI.....Ana wapenzi wengi hatumii kinga, usiku anajidai kuljifunika chandarua
  7. Sumbalawinyo

    Je hii ni adabu? Naoa kesho.

    Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha. Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya...
  8. Sumbalawinyo

    Je huu ni uchawi wa namna gani?

    Leo mida ya saa nane kasoro ishirini usiku tumemkamata kibaka akiiba vitu kutoka katika gari yangu Harrier. Kwa hasira tukaanza kumpiga kwa mawe na matofali, kwa zaidi ya masaa mawili anapigika na wala haumii wala hatoki damu. Mida ya saa kumi tukaamua kumvisha gurudumu na kumchoma moto...
  9. Sumbalawinyo

    Je unatamani kuona nini kabla hujafa?

    Natamani nione Chadema inaingia ikulu. Natamani Wasira azae na mama Mkapa Natamani Rizwani afilisiwe Natamani Mkapa apandishwe kizimbani kwa uhujumu uchumi na mauaji ya Nyerere Natamani Kikwete apandishwe kwenye mahakama ya The Hague kwa uuaji na utesaji wa raia. Hebu na wewe weka matamanio...
  10. Sumbalawinyo

    NENO kwa wana CHIT CHAT wote

    Zaburi 121 1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? 2 Msaada wangu u katika Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi. 3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye; 4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli. 5 Bwana ndiye mlinzi...
  11. Sumbalawinyo

    Hivi huyu mwenzetu bujibuji anawazaga nini?

    Mhindi akinistress basi huingia JF. Kuna list ya watu ambao huwa nayapitia maandishi yao ili kidogo kunifurahisha na kunifanya nirudi duniani. Miongoni mwa watu hao ni huyu bujibuji. Hebu naomba usome hii link hapa chini halafu unisaidie majibu kuwa bujibuji anawagaje...
  12. Sumbalawinyo

    Kwa nini ukioa marafiki wanakukimbia?

    Kuna hatua mbili kuu za marafiki kukumbia. Tena wanaokukimbia ni wale marafiki wa jirani ulio waona kama ndugu. Ukiwatangazia kuoa wanaonekana kwa nje kukuunga mkono, ukihitaji msaa wao wanakupotezea na simu zako hwapokei wala meseji jawajibu. Ngwe ya pili ukisha oa, utaona namba ya...
  13. Sumbalawinyo

    Bujibuji kufunga ndoa kesho 22/10/2011

    Wana JF, ndio naingia ofisini nikitokea site, mezani nimekutana na kadi ya mwaliko wa harusi kutoka kwa Bujibuji. Congratulations
  14. Sumbalawinyo

    Kwenye maisha yangu yote ya mahusiano sijawahi kutenda jambo hili.

    Yaani nasikitika sana, hadi naoa sijawahi kugombana kwa ajili ya mwanamke, sijui nifanyeje ili nipate wa kuzichapa nae kwa ajili ya mamsapu.
  15. Sumbalawinyo

    Taarabu zinachochaea ushoga, Viongozi kaaeni mbali

    Nasikia kwenye maonyesho ya taarab huwa kuna jaa sana mashoga wanaojiuza na pia mabasha wanaotafuta mashoga. Je ni kweli kwamba muziki huu una uhusiano wa jirani na ushoga?
  16. Sumbalawinyo

    Njiwa mweupe+nazi iliyovunjwa @ Njia panda ya Chang'ombe Polisi na Mandela Road

    Jamani kwenye makutano haya ya Chang'ombe Polisi na Mandela Road kuna nazi imevunjwa na pia kuna njiwa mweupe hapo katikati ya njia panda. Tuombe Mungu aepushe mabalaa ya ajali na kumwagika damu. Hapa ni pabaya sana na panaitwa machinjioni.
  17. Sumbalawinyo

    Wana MMU wenzangu, hiki ndicho nilichojifunza kwenye kazi yangu ya kuzoa taka

    Nikizoa taka za Sinza, naweza kupata zaidi ya konom zaidi ya mia tano, lakini nikizoa taka Temeke kata ya 13, nakuta kondom tatu au tano. Je Sinza ndio wazinzi sana, au Sinza ndio wanajali sana. Nawakilisha tu.
  18. Sumbalawinyo

    Ajabu na kweli, ndoa imevunjika, mama aolewa na Houseboy

    Kuna mama hapa mtaani baada ya kutalakiana na mumewe sasa anaishi na house boy wake maisha ya KINYUMBA. Mama huyo sasa amesusiwa kutembelewa na wanawawe kwa aibu hiyo. Hoiuseboy mwenyewe is less than 20 years, yaani ni kichekesho mtaani, hasa wakiwa wanatembea jioni huku wakiwa wamekumbatiana...
  19. Sumbalawinyo

    Sijalielewa jibu lake!!!

    Habari ya mapimziko. Mapenzi ni ujinga na ujinga huu ndio unaonisumbua. Ni kawaida yetu mimi na wangu mwandani kunyoana kila jumamosi ya katikati ya mwezi na mwishoni mwa mwezi. Kilichonikera jana usiku baada ya kuoga nikawa namsubiri mwenzangu aje tunyoe kisha tulale. Alipokuja nikashangaa...
  20. Sumbalawinyo

    Kikwete ana kipi special hadi asingiziwe?

    Salva Rweyemamu msemaji wa lkulu amepinga vikali kuwa raisi wetu hakupokea hongo ya suti. Je wikileaks wana ugomvi gani na kikwete hadi wamsingizie? Au kuna mkono wa Chadema kwenye hii KASHFA YA RAISI?
Back
Top Bottom