Taarabu zinachochaea ushoga, Viongozi kaaeni mbali

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Nasikia kwenye maonyesho ya taarab huwa kuna jaa sana mashoga wanaojiuza na pia mabasha wanaotafuta mashoga. Je ni kweli kwamba muziki huu una uhusiano wa jirani na ushoga?
 
mwanaume utapendaje taarab? Muziki gani unachezwa kwa kukatika ukiwa umeinamia kiti?
 
wewe taarabu ina raha yake hasa unapo mbashia jimama lenye masaburi makubwa full raha ile mbaya..
 
Tatizo wa Tanzania Wengi ni ant social, hivi na lile kanisa la kkt linauhusiano na mashoga, kuna wanamuziki kibao wa kimataifa ni mashoga tena wanaojitangaza ila wewe ndio mshabiki wao mkuu. Ushoga ni hulka ya mtu wala hakuna uhusiano wowote na taarab.
 
Haswaa, wala hujakosea hapa,kila mtu ana aina yake ya music anaopenda kusikiliza na kucheza, taarabu inapendwa na watu wa pwani ambako ndio asili yake kutokana na kuenea kwake sasa hata watu wa bara siku hizi wanaupenda,sidhani kama ina uhusiano na mashoga kwani hata club mashoga wanajazana tu kwenye band ndio usiseme.
 
Sijui tumetoa wapi utamaduni wa kukatisha masaburi, (ukiwachia ngoma ya sindimba ambayo ni ya asili) lakini hii imeenea sasa katika miziki yote, wake kwa waume.
Ikiwa mtindo au utamaduni wa kutingisha masaburi ni alama ya ushoga, nina wasiwasi na Tanzania nzima kuelekea kuwa Taifa la mashoga.
 
Tatizo wa Tanzania Wengi ni ant social, hivi na lile kanisa la kkt linauhusiano na mashoga, kuna wanamuziki kibao wa kimataifa ni mashoga tena wanaojitangaza ila wewe ndio mshabiki wao mkuu. Ushoga ni hulka ya mtu wala hakuna uhusiano wowote na taarab.
Nimeipenda hii mkuu!
 
Binafsi napenda MCHIRIKU sijui unahusiana na
kina nani ili kama vipi niachane nao!
 
nasikia kwenye maonyesho ya taarab huwa kuna jaa sana mashoga wanaojiuza na pia mabasha wanaotafuta mashoga. je ni kweli kwamba muziki huu una uhusiano wa jirani na ushoga?

ikiwa kweli, unataka kujoin?? Maana unaulizia as if unatamaaaniiii..waulize waislam ndo miziki yao
 
lisemwalo......! Ok sasa ni kwamba huu mziki ukiwakuta 10 wanaupenda 4 kati yao ni mashoga ila kwamfano wanaopenda hipop ukiwakuta 10 bac 4 wanavuta bang kwahyo kutokana na hayo maelezo nakonklud kwa kusema taarab ni moja ya kijiwe cha mashoga japo si wote wanahusika!
 
Wengine tunaendaga kwenye shoo za taarabu kutafuta mimama na mijishangazi, tuko mawindoni.
 
sijui kwa nn mashoga wanapenda tarab, but hii haimfanyi mwanaume mwingine ambae si shoga kupenda taarab
 
lisemwalo......! Ok sasa ni kwamba huu mziki ukiwakuta 10 wanaupenda 4 kati yao ni mashoga ila kwamfano wanaopenda hipop ukiwakuta 10 bac 4 wanavuta bang kwahyo kutokana na hayo maelezo nakonklud kwa kusema taarab ni moja ya kijiwe cha mashoga japo si wote wanahusika!

miziki ya wezi na wavuta bange :bange: wa Tandika

Pilipili usizozila zakuwashia nini? Kila mtu ana vionyo vyake vya muziki vinavyomkuna kisawasawa anapovisikiliza. Sioni kama ni vema kuhusisha Mipasho a.k.a taarabu na tabia ya wizi, bangi, Tandika na ushoga.
 
Back
Top Bottom