Ajabu na kweli, ndoa imevunjika, mama aolewa na Houseboy

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Kuna mama hapa mtaani baada ya kutalakiana na mumewe sasa anaishi na house boy wake maisha ya KINYUMBA.
Mama huyo sasa amesusiwa kutembelewa na wanawawe kwa aibu hiyo. Hoiuseboy mwenyewe is less than 20 years, yaani ni kichekesho mtaani, hasa wakiwa wanatembea jioni huku wakiwa wamekumbatiana kwa mapenzi na huba
 
Kama huyo house boy ndiye aliyesababisha mpaka ndoa ikavunjika unategemea mama aolewe na nani?
 
mmmh! jaman ndo maisha yetu haya!! km mabint wadogo wadunda na wababa wazma, wa mama wazma watadunda na akna nan? acha tubadlshane!1 mawazo!!!
 
Sasa afanyeje na mumewe kamuacha, wanaume bwana, mnafikiri nyie tu ndio mnapenda dogodogo, mwacheni mama wa watu ajifaidie
 
Love's Blind mwacheni H. boy ale tunda kwa raha zake bila kusumbuliwa mahali wala harusi na kero zake.. safi sana I wish i could be the one.
 
Alaa mwacheni "nyokaa" ale bata jamani ...duu io hata mimi ingenidondokea aaa ni kubonyeza tu. maisha yenyewe yako wapi haya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom