Njiwa mweupe+nazi iliyovunjwa @ Njia panda ya Chang'ombe Polisi na Mandela Road

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Jamani kwenye makutano haya ya Chang'ombe Polisi na Mandela Road kuna nazi imevunjwa na pia kuna njiwa mweupe hapo katikati ya njia panda.
Tuombe Mungu aepushe mabalaa ya ajali na kumwagika damu.
Hapa ni pabaya sana na panaitwa machinjioni.
 
uchawi huo si kuna uchaguzi jpili....
ggggzzzzzzzzzzzzzzz
Kamati ya ufundi ishafanya mambo
 
Kuvunjwa kwa nazi na njiwa kushindwa kuruka kunahusiano gani na ushirikina?bac tusile wali maharage cos nazi inahusika hapo
 
Jamani kwenye makutano haya ya Chang'ombe Polisi na Mandela Road kuna nazi imevunjwa na pia kuna njiwa mweupe hapo katikati ya njia panda.
Tuombe Mungu aepushe mabalaa ya ajali na kumwagika damu.
Hapa ni pabaya sana na panaitwa machinjioni.
Kuvunjwa kwa Nazi na njiwa mweupe kuwepo hapo katikati ya hizo barabara ya Chang'ombe Polisi na Mandela Road hakuwezi kusababisha Matokeo ya ajali yoyote ile acheni imani mbovu hizo wakuu wenzangu. huyo aliyevunja Nazi na kumuacha hapo njiwa Mweupe kwa jinsi ninavyojuwa mimi alikuwa amekwenda kufanya mambo yake iedha ana matatizo ya (maisha,maradhi, Kuiuwa kesi au kumfarakisha mtu na mkewe au wachumba wawili kuwafarakisha). Kafanya hayo maombi ili kuivunja nazi ina maanisha hayo siyo unavyofikiria wewe. mkuu jaribu kuuliza kitu kama hukijuwi sio kuleta topic hazina maana yoyote ile asanteni.
 
here wachawi siku hizi wameanza kuwaroga Polisi!! ....Polisi jiandaeni kupambana na wachawi.....AMINI AMINI AMINI NAWAAMBIENI "VITA YA WACHAWI HAITUMII BUNDUKI"
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom