Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 250
Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake