Search results

  1. Realbest

    Nichukue Friji ipi kati ya Mr UK, Boss?

    Wakuu natanguliza shukrani zangu kwenu, nataka kununua friji kwa matumizi nyumbani Friji ipi ni Bora na inauwezo wa kudumu kwa mda mrefu? Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
  2. Realbest

    Ubora wa Xiaomi Redimi 8A

    Msaada wakuu Kuna mtu yeyote amewahi Tumia Xiaomi Redmi 8a? Vp kuhusu uborawake? Nataka kuagiza china kupitia WeChat
  3. Realbest

    Wapi naweza pata SAA hii Casio G-Shock DW5600E 1V watch?

    Habari wakuu kuna SAA moja nimeitafuta Sana online hasa AliExpress lakini sijaipata. Je? Wapi naweza ipata hasa Kwa wauzaji wa maduka dar es salaam? Kwa wale wenzangu wa online mnaweza nisaidia kunitafutia Supplier anayeuza kama itashindikana bongo? SAA inaitwa Casio G-Shock DW5600E- 1V Watch
  4. Realbest

    Anayeifahamu hospitali ya Wilaya Morogoro Vijijini

    Habari za humu wakuu? Hivi kuna mtu anayeifahamu hospitali ya wilaya ya Morogoro Vijijini na mazingira yake Kwa ujumla? Kuna mdogo wangu kapangiwa kituo cha kazi huko . Napenda kujua jiografia yake Kwa ujumla pamoja na wilaya ilipo. Pamoja na changamoto zake Kwa ujumla.
  5. Realbest

    Simu inapaswa kuwa na vigezo gani ili iweze kusajili line za simu?

    Kama kichwa kinavyojieleza ni simu yenye vigezo gani itanifaa kwa shughuli za usajili wa line za simu?. Mfano wake ni simu gani?
  6. Realbest

    Naomba kujuzwa umuhimu wa kifaa kinachoitwa Din Rail

    Wakuu habari za muda huu? Naomba kujua umuhimu wa kifaa hiki Je, kinazuia radi? Kinaweza kusaidia vifaa vyako visiungue kutokana na kupungua au kupanda kwa umeme ghafla?
  7. Realbest

    Naomba ushauri Kuhusu matumizi Tv Box

    Je kunatofauti gani ya matumizi ya remote ya G voice na Remote ya kawaida? Je na remote ya g voice naweza kuitumia kama remote ya kawaida? Vp kuhusiana na ulaji wake wa bundle? Je Kuna yeyote aliyewai tumia tv box ya Aina hii km picha inavyojieleza???
  8. Realbest

    Msaada na ushauri kwa huyu dogo nimpeleke chuo gani kwa alama hizi?

    Nina dogo hapa amemaliza 4m4 mwaka Jana na kupata division 4 ya point 26 Matokeo yake ni kama ifwatavyo History C Kiswahili C ENGLISH C CIVICS D BIOS D GEO D MATH F Je naweza mpeleka chuo gani ambacho angalau anaweza ikawa na uwanda Mpana angalau wa ajira? Kiukweli nimepiga mahesabu upande wa...
  9. Realbest

    Ushauri: Kuwa wakala wa kusajili line za TTCL na Zantel

    Habarini wadau? Nahitaji kuwa wakala wa kusajili line za TTCL na Zantel je changamoto zake ni zipi? Ni vitu gani vya kuzingatia? Scana ya Zantel ambayo nasikia inaingiliana na Voda naipata kwa shingapi? Kuna changamoto gani katika kazi hii? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Realbest

    Ahsante TCRA kwa kupunguza utitiri wa ving'amuzi

    Mwananchi TCRA yaja na king’amuzi kimoja Friday February 7 2020 Miaka sita iliyopita, Tanzania ilishuhudia mabadiliko makubwa katika sekta ya matangazo, mifumo ya analogia ilizimwa rasmi na kuanzishwa kwa matangazo ya dijitali. Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
  11. Realbest

    Mafunzo ya ufundi simu na TCRA

    Aisee wakuu kuna aliyebahatika kupata nafasi kwenye hii kitu hapa chini? === Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (MB), amefungua mafunzo kwa mafundi simu za mkononi wa Kanda ya Ziwa wa kutoka mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara, Geita, Shinyanga na Simiyu Kamwelwe...
  12. Realbest

    Faida na hasara za kusomea IT

    Tafadhali watu wa IT na wengineo natamani sana kusomea mambo ya IT. Je, faida zake na hasara ni zipi? Vyuo gani naweza kusoma na nikawa competent? Vitu gani vya kuzingatia na kwenye soko la ajira ya sasa?
  13. Realbest

    Msaada; Tofauti ya Ampia na Watt

    Kuna tofati gani kati ya volt Watt na Ampia? Unakuta Adapter inatoa volt 12 ina Ampia 2. Au unakuta charger ya simu inatoa volt 5 na Ampia ni 1.5 au 2? Au unakuta Tv guard au volt guard imeaandikwa Ampia 5 au 7. Ni tofauti? Msaada napenda kujifunza!
  14. Realbest

    Msaada tatizo la low voltage

    Habari wakuu? Hapa kwangu nilipohamia pana tatizo la nyumba nyingi zina low voltage. Ni kifaa gani kinaweza kufaa kubalance umeme angalau niwe natumia Tv, Radio na matumizi madogo ya hapa nyumbani? Nimenunua volt Guard lakini inajizimazima hovyo ikifika muda ya jioni. Mbali na stabilizer...
  15. Realbest

    Msaada wa vipimo vya meza hii ya tv

    Msaada wadau nahitaji nimpatie fundi vipimo hajui
  16. Realbest

    Msaada wa Vipimo vya meza hii ya tv

    Nahitaji kumpatia fundi anitengenezee
  17. Realbest

    Clouds TV ndani AZAM TV Free

    Kichwa Cha jieleza Sasa UTV TBC Safari Channel Channel Ten na Sasa Ni ClOUDS TV Mungu akupe nn????
  18. Realbest

    Hatimaye Azam TV waanza kurejesha local channels free

    Atimaye AZAM TV wameanza kuziachia free baadhi ya local channel kwa mfano; 1. AZAM UTV 3. TBC na 3. SAFARI TANZANIA. na Sasa wameachia 4. CHANEL TEN. Ahsante serikali pamoja na kampuni Ya AZAM TV tunatumai siku zijazo mtatuachia free ITV EATV na STARTV
  19. Realbest

    Jinsi ya kujua USB charger ORGNAL

    Nimtumiaji wa simu Aina ya Samsung pamoja na Itel S32 USB zake zote nilizo nunulia na simu zimekufa' nimejaribu kununua USB kadhaa zimekua haziingizi charge( wakati mwingine inaonesha charge inaingia lakuni haijai hata 1%) au zinatumia mda mrefu sana mpaka simu kuwa Fully charge. Ntajuaje...
  20. Realbest

    Ameibiwa Decoder je inaweza kupatikana endapo mtu anaitumia?

    Salam wandg? Kunajamaa jirani kaibiwa decoder ya Startime ya Dishi na vitu vingne! Je hakuna uwezekano wa ku truck kujua mtumiaji decoder mahali alipo endapo anaitumia? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom