Ushauri: Kuwa wakala wa kusajili line za TTCL na Zantel

Realbest

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
809
293
Habarini wadau?

Nahitaji kuwa wakala wa kusajili line za TTCL na Zantel je changamoto zake ni zipi?

Ni vitu gani vya kuzingatia?

Scana ya Zantel ambayo nasikia inaingiliana na Voda naipata kwa shingapi?

Kuna changamoto gani katika kazi hii?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri nenda Ofisi za Ttcl au zantel utapata majibu mazuri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom