Jinsi ya kujua USB charger ORGNAL

Jinsi ya kujua USB charger ORGNAL

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
303
Nimtumiaji wa simu Aina ya Samsung pamoja na Itel S32
USB zake zote nilizo nunulia na simu zimekufa' nimejaribu kununua USB kadhaa zimekua haziingizi charge( wakati mwingine inaonesha charge inaingia lakuni haijai hata 1%) au zinatumia mda mrefu sana mpaka simu kuwa Fully charge.

Ntajuaje kwamba hii ni USB charge ni orginal?

Maana hizo simu zangu itel na Samsung zinachagua Sana charge!
Msaada tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nunua za usb charger za Ipad/Iphone, hua uwezo wake zinaanzia 1.5A kwenda juu, chaja za kawaida nyingi zilizopo kkoo hua 0.7A kushuka chini, feki, na za uwezo mdogo kuchajia alkateli

au nunua power adapter za Router ( makutano ya Uhuru na Msimbazi kama upo Dar wanapouza vifaa vya Networking) bei zake ni 6000/- , 5V 2A, hutajutia
 
Ahsante Sana brother ntajarbu kufatilia kesho kwenye maduka,

Mungu akubariki Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom