Msaada wa Vipimo vya meza hii ya tv

Msaada wa Vipimo vya meza hii ya tv

Realbest

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
812
Reaction score
303
Nahitaji kumpatia fundi anitengenezee
Screenshot_20191004-222307.jpeg
Screenshot_20191005-071054.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20190807_183238.jpeg
    IMG_20190807_183238.jpeg
    58 KB · Views: 21
show case hiyo sio meza ya tv

wote wenye hizo meza hawaziekagi tv

ni ka show case ka sebleni tu,kama pichani unavyoona

Vipimo si uende kwa fundi umueleze unataka kitu cha aina gani?
 
Vipimo chagua mwenyewe kutokana na ukubwa na eneo unapotaka kuweka showcase na ukubwa wa TV yako.
Kuna mvuto fulani unakuwepo ukizingatia ratio kati ya showcase na TV yenyewe.
 
Vipimo chagua mwenyewe kutokana na ukubwa na eneo unapotaka kuweka showcase na ukubwa wa TV yako.
Kuna mvuto fulani unakuwepo ukizingatia ratio kati ya showcase na TV yenyewe.
Nimekuelewa Kaka angalau umenipa mwanga
 
Ahsante sana nimekuelewa boss
show case hiyo sio meza ya tv

wote wenye hizo meza hawaziekagi tv

ni ka show case ka sebleni tu,kama pichani unavyoona

Vipimo si uende kwa fundi umueleze unataka kitu cha aina gani?
 
Back
Top Bottom