Naomba ushauri Kuhusu matumizi Tv Box

Realbest

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
811
293
Je

kunatofauti gani ya matumizi ya remote ya

G voice
na
Remote ya kawaida?

Je na remote ya g voice naweza kuitumia kama remote ya kawaida?

Vp kuhusiana na ulaji wake wa bundle?

Je Kuna yeyote aliyewai tumia tv box ya Aina hii km picha inavyojieleza???

-1597632833959785720.jpg
 
Je

kunatofauti gani ya matumizi ya remote ya

G voice
na
Remote ya kawaida?

Je na remote ya g voice naweza kuitumia kama remote ya kawaida?

Vp kuhusiana na ulaji wake wa bundle?

Je Kuna yeyote aliyewai tumia tv box ya Aina hii km picha inavyojieleza???

View attachment 1586754
mchina akiwa katika ubora wake, hapo wanakuzuga zuga tu sijui voice air mouse mara gvoice etc ili ujue box linasupport voice comand lakini janja janja yote hio ni kwamba hawatumii Android tv na haina voice command yenyewe inayoitwa Google assistant.

kifupi mkuu sababu tv box ni ngumu kunavigate kama simu na haina touch kama ulivyozoea, ni muhimu sana remote yake ikiwa na uwezo wa sauti, unaiambia unachotaka na inafanya. mfano umesikia kuna series Kali inaitwa Money heist, ila hujui inapopatikana unataka kuisearch, na remote yako ina Alexa utasema tu "Alexa play Money Heist" basi Tv yako itaangalia kwenye apps zote kama Netflix, Amazon prime, Youtube etc kisha itasearch na kukupa options namna ya kuiangalia.

vyema ukinunua Tv box ya Android iwe ni fire tv ya amazon ama box zinazosupport Android tv kama vile za Xiaomi, hao wachina wa vichochoroni hawana issue Android zao hazipo optimized kwenye tv na wanatumia soc low end sana, at Minimum angalau uwe na Amlogic 905

mfano angalia hapa benchmarks za hio Rockchip, ya mwisho karibia kila sehemu
COMPARATIVE: Amlogic S905X3 Vs all current SoC

kuhusu swali la msingi remote yenye voice comand ni bora zaidi kwenye tv kuliko isio na voice comand

na ulaji wa bando inategemea na unachofanya, ukiplay video za resolution kubwa tegemea bando liishe upesi upesi.
 
Nushukuru chief kwahyo
kimsingi kwa online kama alliexpress naweza pata kwa shingap?

Nahitaji moja angalau

Kwa mfano xiaomi tv box au amazon fire stick?
 
Nushukuru chief kwahyo
kimsingi kwa online kama alliexpress naweza pata kwa shingap?

Nahitaji moja angalau

Kwa mfano xiaomi tv box au amazon fire stick?
fire stick huipati aliexpress ni ya USA hio.

kwa xiaomi kama unataka device ya bei rahisi kustream tu nunua mi stick, around 70,000 unaipata. weakness yake inakubali mwisho full hd 1080p haina 4k, ila kama huna tv ya 4k haina neno. mi stick kwa kenya unaipata 95,000 kama hutaki kusubiria sana.
 
Shukran sana itanifaa changamoto nikwenye kuhifadhi vitu kama move n.k

Pili tv yanga siyo 4k ni 1080
 
Shukran sana itanifaa changamoto nikwenye kuhifadhi vitu kama move n.k

Pili tv yanga siyo 4k ni 1080
hiyo kazi yake ni kustream mkuu, inaweza stream chochote nyumbani, kama una movie kwenye laptop itastream kwenye tv, kama una game kwenye laptop utastream kwenye tv, cha muhimu tu kuwe na wifi (hata kama hamna internet)

pia unaweza connect kifaa chochote kama external hdd sema itataka extra cable
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom