Ameibiwa Decoder je inaweza kupatikana endapo mtu anaitumia?

Realbest

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
697
250
Salam wandg? Kunajamaa jirani kaibiwa decoder ya Startime ya Dishi na vitu vingne! Je hakuna uwezekano wa ku truck kujua mtumiaji decoder mahali alipo endapo anaitumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom