Nichukue Friji ipi kati ya Mr UK, Boss?

Haier HRF 268. Hautajutia.
images.jpeg
 
Mkuu hadi maamuzi ya friji unakuja kuuliza JF, kweli tuna watu empty headed
Mbwa /limbukeni wewe pumbavu kabsa, we ulizaliwa unajua kila kitu?
Unajua hiki mimi najua kile na ndiomaana ya jf kuelimishana katu huwezi jua kila kitu duniani,
Hv wewe ungekuwa kama wakina chief mkwawa na wengenieo walio nondo humu mbona tungekoma?
Acha ushamba na ulimbukeni, anayeuliza anataka kujua, mimi si wakukurupuka kama unavyofikiri.
, kwahyo walio nijibu kwa uzuri hapo unaona niwajinga? Watu wengine bwana mfyuuuuuuuu!..

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Katika ulimwengu wa kujifunza kuuliza hakuja wai kuwa ujinga, unless uulize ujinga.
Na unachokijua sio lazima na mwingine akijue mkuu.
Umetisha sana mkubwa

Na ushauri na michango yenu nitayafanyia kazi watu kupata kitu kilicho Bora zaidi

wengine ni malimbukeni & ushamba unawasumbua
Huenda yeye amemaliza vyote Duniani

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
All electronics products are good the only difference ni utunzaji and not brand
Mfano Kwa sasa Umeme unakatika sana and you don’t have surge protector km UPS or stabiliser or guard hapo usitegemee brand itakulinda tegemea maumivu.
So buy any product ila hakikisha unavizuizi vya kusaidia vifaa vyako visiungue
 
Mbwa /limbukeni wewe pumbavu kabsa, we ulizaliwa unajua kila kitu?
Unajua hiki mimi najua kile na ndiomaana ya jf kuelimishana katu huwezi jua kila kitu duniani,
Hv wewe ungekuwa kama wakina chief mkwawa na wengenieo walio nondo humu mbona tungekoma?
Acha ushamba na ulimbukeni, anayeuliza anataka kujua, mimi si wakukurupuka kama unavyofikiri.
, kwahyo walio nijibu kwa uzuri hapo unaona niwajinga? Watu wengine bwana mfyuuuuuuuu!..

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Ila upo mlaini mno kichwani mkuu punguza jazba. Be hard with your mental
 
Back
Top Bottom