Search results

  1. M

    What a record, Dr. Magufuli!

    In a farewell bid to Mr. President here's what he said, copied from IPP Media, "Tanzania Building Agency (TBA) also under Dr Magufuli’s custodianship revealed to have built 1,732 staff houses and that 7,000 have been sold to the public in the past 10 years." Good job Dr. Magufuli for bringing...
  2. M

    Kung'oa CCM itakuwa kazi kwa kweli

    Watu kama huyu pichani hawachagui mtu bali CCM...kazi ipo!!!
  3. M

    Flashback 2011: Alichosema Mhe. Kikwete Kuhusu Wanafunzi Kufeli (Miaka 2 iliopita)

    Akizungumzia kiwango cha ufaulu, rais Kikwete aliwataka walimu wanaotunga mitihani ya shule za msingi, sekondari na vyuo, kuacha kutunga migumu kupita kiasi, kwa kuwa yawezekana kuwa ndicho chanzo cha matatizo. "Changamoto ya ufaulu mdogo kama mnavyodai katika masomo ya sayansi...
  4. M

    Olympics 2012, Tanzania ni aibu....

    Wakati Uganda wameshinda Dhahabu kwenye marathon, Kenya wameshinda fedha na shaba. Watanzania wawili wamemaliza wakishika nafasi ya 33 na 66! Ni aibu sana...toka Nyambui na Bayi wajipatie fedha mwaka 1980, Tanzania haijawahi kushinda medali yoyote kwenye michezo ya Olimpiki. ..... Jumla ya...
  5. M

    Natoa Rai: Mawaziri wa Ujenzi na Uchukuzi Wanawajibika Kwa Hizi Ajali

    Wizara na Viongozi Wao Wanawajibika Moja kwa Moja Barabara za Tanzania zimegeuka machinjio ya watumiaji wake, wasafiri wanaotumia barabara wanaendelea kuwa roho juu wanapokuwa safarini wakati serikali ya JMT haijafanya chochote kuondoa machinjio safarini. Hivi Wizara husika zinasubiri msaada wa...
  6. M

    Tovuti ya Taifa Inaiitwaje?

    Ilikuwa www.tanzania.go.tz lakini haipatikani siku hizi? Je imehamishiwa wapi? Kuna info nahitaji mwenye kujua ilipo naomba msaada
  7. M

    Mh. Lissu na Mgongano wa Katiba ya JMT na Zanzibar

    Muungano wetu hauwezi kuokolewa kwa maneno matamu kama 'Muungano ni lulu', etc. tu. Muungano huu umekuwa na matatizo makubwa ya kimsingi kwa miaka yote ya uhai wake. Kujifanya matatizo haya hayapo ni kuchopeka vichwa vyetu kwenye mchanga kama mbuni na kutokuyatafutia ufumbuzi. Hii ndio hatari...
  8. M

    Will japan build a "back up" tokyo?

    By Alan Boyle (MSNBC) It sounds like a story ripped from the parody-filled pages of The Onion, but some Japanese lawmakers really do want to build a "backup city" that would take over the functions of Tokyo, including tourism, in the event of a catastrophe. The idea was floated last month at a...
  9. M

    Another ???MW Project in TZ

    Wachina kupitia benki yao ya Exim wamesaini mkataba wa kuikopesa serikali ya Tanzania karibu dolla za kimarekani billioni moja (1bn US$) kujenga bomba la gesi lenye ukubwa wa inchi 36 kutoka kisiwa cha songosongo mpaka Jijini Dar es Salaam. Mkataba huo ulisainiwa uchina Jumanne iliopita. Waziri...
  10. M

    President Bingu wa Mutharika sacks all 42 Ministers

    BLANTYRE, Aug 20 – Malawi President Bingu wa Mutharika has sacked his 42 member cabinet and taken over all portfolios weeks after deadly anti-government riots killed 19 people. “The president is now in charge of all portfolios until further notice,” said a statement signed by office of the...
  11. M

    Kenya has Positioned itself to be the Hub for EA Tourism

    With Kisumu International Airport project in the western part of the region almost complete, The government of Kenya is now rolling out a massive reconstruction of its very own JKIA. The renewed and modernized airports will improve air traffic in Kenya and Great Lakes regions and consequently...
  12. M

    Je ni Sahihi Serikali Kubagua Umri katika Elimu ya Sekondari?

    Nimetatizwa na Serikali kutokuwachagua vijana 29 kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita eti kwasababu wanaumri unazidi miaka 25! Je serikali inakumbatia ujinga? Nafikiri ingekuwa bora wale waliochelewa kusoma wasaidiwe (wasipendelewe) ili walau waweze kuelimika--sasa hawa 29 wamefaulu...
  13. M

    Let's Face the Union Thing in Our New Katiba

    Tanzania: We Want More Say in This Union, Zanzibar Tells Tanzania Govt by Bamuturaki Musinguzi14 February 2011 (allafrica.com) Nairobi — The course of the 47-year existence of the United Republic of Tanzania has been anything but smooth. From Zanzibar nationalism, the structure of...
Back
Top Bottom