Olympics 2012, Tanzania ni aibu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Olympics 2012, Tanzania ni aibu....

Discussion in 'Sports' started by mambomengi, Aug 12, 2012.

 1. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Wakati Uganda wameshinda Dhahabu kwenye marathon, Kenya wameshinda fedha na shaba. Watanzania wawili wamemaliza wakishika nafasi ya 33 na 66! Ni aibu sana...toka Nyambui na Bayi wajipatie fedha mwaka 1980, Tanzania haijawahi kushinda medali yoyote kwenye michezo ya Olimpiki.
  .....
  Jumla ya Medali zote ilizopata kwenye michezo ya olimpiki.
  Kenya 79, Uganda 7, Tanzania 2!
   
 2. m

  mkupuo JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  mkuu unashangaa nini wakati wachezaji walikuwa wanafanya mazoezi ya Olympic uwani kwa nyumba ya Filbert Bayi?
   
 3. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Je umemwona mkenya mmoja anaitwa Rudisha amevunja rekodi ya dunia ya 800m, yeye alijitengenezea uwanja wake wa mazoezi porini, akafanya mazoezi na kufanikiwa kurudi 'umasaini' na dhahabu na rekodi mpya ya dunia.
  Hakuna kujitetea ni uzembe wetu huo.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  aibu ipi?

  hii mbona ndio normal kwetu?
   
 5. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yupo mkimbiaji mtanzania alipinga kambi kuwekwa kibaha wakati hali ya hewa London ni tofauti na hapo, yeye aliomba afanye mazoezi mwenyewe kwenye high altitude akiamini ingemsaidia kutokana na hali ya hewa- walimkatalia na kumfukuza kwenye timu, matokeo yake ni aibu hii. Imefika wakati wadau nao wasikilizwe hizi sio timu za viongozi bali ni za taifa namsubiri GIDABUDAY atupe za data za ndani!!
   
 6. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Viongozi wa Kamati ya Olympic na chama cha riadha Tanzania ni wachumia tumbo tu, mtu anang'ang'ania timu ifanye mazoezi nyumbani kwake ili achukue yeye hela ya maandalizi ya Olympic, wanatakiwa kulazimishwa kuachia ngazi ni aibu tupu.
   
 7. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Viongozi wote wapigwe chini, tuanze upya, hakuna haja kuendelea kuwa wataliii na kutumbua pesa ya walalahoi kama posho.
   
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata mataifa ya afrika soka tulicheza mwisho mwaka 74.
   
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hii nchi ni ya kuifumua yote kila mahali pameoza.
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Hata 1980 tulipata medali kwa kuwa US na washirika wake walisusia mashindano.......ila huyu Bayi anadhani Olimpiki ya Tanzania ni yeye tuu
   
 11. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Nimeshuhudia juzi mashindano ya kutembea katika Olympic,sikujua kama uwa kuna mashindano ya kutembea,kama mbio zimetushinda watanzania basi tujikite kwenye mashindano ya kutembea,hivi hata kutembea Watanzania hatuwezi,kuna makabila ni mafundi sana wa kutembea tena bila viatu,tujikite sasa kwenye mazoezi ya kutembea labda uko tutapata medali olympic ijayo.
   
 12. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Nimeshuhudia juzi mashindano ya kutembea katika Olympic,sikujua kama uwa kuna mashindano ya kutembea,kama mbio zimetushinda watanzania basi tujikite kwenye mashindano ya kutembea,hivi hata kutembea Watanzania hatuwezi,kuna makabila ni mafundi sana wa kutembea tena bila viatu,tujikite sasa kwenye mazoezi ya kutembea labda uko tutapata medali olympic ijayo.au?
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Si kuitembea tu, kuna michezomingi ambayo tungeweza kujiandaa na kushinda. lakini tatizo letu kubwa hatuna huo moyo wa kushinda, hivyo hata kujiandaa hatujiandai. Ukichunguza kwa makini, mataifa mengine pamojana wanamichezo binafsi wanaanza maandalizi ya Olympic ya 2016 mara tu baada ta mashindano haya. Sisi tutasubiri mpaka januari 2016 ndipo utasikia maandalizi ya timu ya olimpiki yanaanza!
   
 14. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Mkuu OMEGA,
  Wewe ndo umenena, kutembea hapo ni sawa kabisa, wapo watanzania wanaweza kutembea mwendo mrefu sana! tatizo huku bana dah nimeshindwa kuongea ngoja niishie hapa!
   
 15. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Uzalendo ndio kiungo muhimu tunachokikosa kwenye mboga ya Taifa letu.
  Walivyopiga kambi kibaha hukwenda kuwaona ila mmekutana uengereza unajifanya kupiga picha ya pamoja. Sinema hizi.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahah,,,,mabo yote ukitaka msikilize GIDAGIDAI,ALISEMA ENDAPO TANZANIA INGESHINDA BASI ANGECHOMA VYETI VYAKE PALE UWANJA WA NDEGE,MAANA KAMBI IMEWEKWA UWANI KWA MTU,,,BONGO BHANA,ila tusilijadili hili swala lipo mahakaman
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahah,,,,mabo yote ukitaka msikilize GIDAGIDAI,ALISEMA ENDAPO TANZANIA INGESHINDA BASI ANGECHOMA VYETI VYAKE PALE UWANJA WA NDEGE,MAANA KAMBI IMEWEKWA UWANI KWA MTU,,,BONGO BHANA,ila tusilijadili hili swala lipo mahakaman
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dah,tumekosa hata medali ya BATI!!!!!!!!!!!!
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  BAYI ALIBEBA NA MAMA WATOTO KABISA

  [​IMG]
   
 20. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Nchi hii haina dira wala mwelekeo kiasi kwamba hata sisi wananchi hatufikirii mbali.....sasa tunaganga siasa...ikifika Desemba 2015 tunakurupuka na kigombania nafasi za kutalii.
  Inabidi site wanaoliwakilishwa taifa waitwe na wapigwe jarambe kidogo, ili siku nyingine wakashindane....kama Kenya wanaweza kwanini sisi tushindwe kwa aibu.
  Kama tunaogopa kutoa jarambe...tusitishe huu utalii wa kisaniii.
   
Loading...