mambomengi
JF-Expert Member
- May 16, 2009
- 829
- 242
Watu kama huyu pichani hawachagui mtu bali CCM...kazi ipo!!!
Masikini na walimu ndio mitaji yao ma ccm.walimu wanatakiwa kujifunza kukataa kofia na kanga ili wajenge maisha yao mahana wanaishi kama ma chokolaa wa mtaani ccm wanawaita misukule.
swissme.
Watu wamebadilika sana,utaniambieni eti ccm ndio amani.sio kweli....hatuna amani,amani gani aliyonayo bibi huyu ambaye hana elimu,hana lishe,hana maisha bora......anaishi kwenye pango la kujificha.......Watu kama huyu pichani hawachagui mtu bali CCM...kazi ipo!!!
![]()
Watu wamebadilika sana,utaniambieni eti ccm ndio amani.sio kweli....hatuna amani,amani gani aliyonayo bibi huyu ambaye hana elimu,hana lishe,hana maisha bora......anaishi kwenye pango la kujificha.......