Wadau, ningeomba kupata jibu kama Tanzania kama Regulatory Board ya Hospitali zetu. Nimegundua hospitali nyingi nchini zinatoa huduma chini ya viwango na kama wananchi tunahitaji bodi ya kupeleka malalamiko.
Na hiyo bodi iwe pro active kuhakikisha hizi hospitali zinatoa huduma nzuri kwa...
Inasikitisha bado hawa watu wanauza binadamu wenzao. Guess what, wengi wanaouzwa ni Waafrika. Cheki link ya BBC.
https://www.bbc.com/news/technology-50266663
Ningependa kuwakumbusha viongozi na mashabiki wa vyama vya upinzani kama nyie mlivyo na haki ya kuongea hata watu wanaozungumza msivyopenda pia wana haki ya kuzungumza. Mpango wenu wakumpeleka Karia mahakamani inaonesha jinsi mlivyo intolerant kama chama tawala.
Karibuni nimekuwa nikijiuliza sana hili swali lakini sipati jibu. Waafrika ni binadamu waliokamilika kama wenzetu wa mabara mengine lakini kwanini tunakuwa tegemezi? Kwanini tuliweza kuishi na kuendela na maisha yetu kabla ya wazungu na waarabu kuja kwenye bara letu na sasa tunashindwa kuishi na...
Randgold ready to mediate in Acacia's Tanzania row
Randgold Resources said on Tuesday it would mediate in a tax dispute between Tanzania and Acacia Mining, a firm in which Randgold investors will have a stake if its planned merger with Barrick Gold is approved by shareholders.
Randgold Chief...
Siyo siri hiki chama kimeonesha kila dalili ya kuishiwa pumzi ni muda vijana wenye mbinu, akili mpya , uwezo na nia ya kuwa viongozi wa Nchi hii siku zijazo waanzishe chama chao muda umefika kutafuta chama mbadala wa CCM na hivi vyama feki vya siasa.
Wadau nimeona nilete hii hoja hapa ilinipate ufahamu zaidi katiba au sheria zetu zinavyolinda haki za wagonjwa kwenye hospitali zetu. Wagonjwa wengi wanafariki na wengine wanapata huduma mbovu wanapokuwa kwenye hizi hospitali zetu. Je sheria inatambua haki za wagonjwa? Na inawapa nguvu wagonjwa...
Wanabodi,
Ningependa kujua ni nani anasimamia usafi na miundombinu ndani ya masoko yetu Dar es salaam. Mvua ikinyesha kidogo masoko yetu yanakuwa kama Goma, Congo ni mwendo wa tope na uchafu wa kiwango cha kuleta kipindupindu. Inabidi tuzimulike Mamlaka zinazohusika zifanye kazi yake. Naomba...
Wanabodi,
Kwa maoni yangu haya mapambano ya kupigania demokrasia yangeelekezwa kwenye kupambana na umaskini na kupiga kelele serikali ifanye zaidi kwenye kupunguza ukali wa maisha nadhani wananchi wengi wangewaelewa.
Nawasilisha.
Mh. Rais nakushauri uchague wafanyabiashara wachache wakubwa kwa wadogo wa kushauri na kusaidia kukuza uchumi na kutengeneza sera rafiki kwa wafanyabiashara nchi. Miaka hii michache wafanyabiashara wanalalamika sana na niungwana matatizo yao kusikilizwa.
Mlipuko mkubwa wa moto uliotokea Ghana unaweza kutokea nchi yoyote isiyokuwa na utaratibu mzuri wa kuhakikisha vituo vya mafuta vina vifaa na taratibu za kuzuia majanga ya moto. Je unadhani vituo vya mafuta ni salama? na taasisi za OSHA na EWURA wameweka kipaumbele usalama wa watu kwenye vituo...
Hivi karibuni nimeshangazwa sana kuona walinzi wa KK waliopo lindoni ni wakenya. Je ni sawa kwa kazi za ngazi za chini kama ulinzi kuchukuliwa na raia wa nchi nyingine. Naomba wanaofahamu wanijuze.
Ujumbe huu uwafikie vijana na wazee ambao muda huu wameshika kamba, panga , sumu, silaha ya moto, panadol au chochote unachotaka kutumia kuondoa maisha yako kisa mpenzi wako amekuvunja moyo na umeshindwa kuvumilia maumivu ya usaliti ningependa nikwambie 80% ya binadamu waliofika miaka 30...
Hizi ni sababu zilizonifanya niandike hii mada
1) Tunapenda kulalamika kuliko kutatua matatizo.
2) Kila kitu tunategemea serikali itufanyie
3) Kwenye kila jambo tunatanguliza matumbo yetu badala ya Taifa
4)Tunapenda ngono na starehe kuliko kazi
5)Tunakimbia changamoto
6)Uvivu uliopindukia na...
Nimegundua Rais Magufuli hapendi malalamiko bali njia mbadala au hoja za kujenga zitakoweza kumsaidia kwenye ajenda yake ya kupeleka hii nchi mbele, nje ya hapo hasikilizii. Kama wapinzani wapo serious na maisha yao ya kisiasa wanabidi wabadili njia ya kumkabili la sivyo wataumia uchaguzi ujao.
Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wapo very serious na ndoa na watoto? Mtu unamkuta ofisini, club au mtaani unamtongoza anakupa game, mara kesho yake anakwambia anakupenda sana hadi anadiriki kuanza kuelezea mipango yenu ya maisha ya pamoja ya ndoa.
Acha hiyo wengine baada ya game hata kama...
Moja ya ndoto kubwa ya Rais Magufuli ni kuwa na Tanzania yenye viwanda. Je kwa vijana wenye ndoto za kufungua viwanda vyao viwe vya bunduki, kemikali, magari,nguo, vyakula na vinginevyo wanahitaji kupitia taratibu zipi za msingi ilikupata leseni, mikopo na misamaha ya kodi ili nchi hii iwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.