Wasichana wa bongo hawajui kitu kinaitwa 'good time'

Wasichana wa bongo hawajui kitu kinaitwa 'good time'

Walnut Creek

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Posts
5,812
Reaction score
6,327
Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wapo very serious na ndoa na watoto? Mtu unamkuta ofisini, club au mtaani unamtongoza anakupa game, mara kesho yake anakwambia anakupenda sana hadi anadiriki kuanza kuelezea mipango yenu ya maisha ya pamoja ya ndoa.

Acha hiyo wengine baada ya game hata kama ulitumia kinga baada ya wiki anakuja na habari ya mimba na ukimdadidisi unapata hisia kabisa hiyo mimba ilitegwa sasa ningependa kupata maoni ya wadada kwanini mnalazimisha sana ndoa na watoto ambao sisi hatuwataki au hamjui saa nyingine wanaume tunataka good time na siyo drama za ndoa na watoto.
 
be the first to reply...

by the way unapomtongoza unakuwa unamwambiaje kwa mfano.

Alternatively, ushwahi kwenda Ambiance na asubuhi ukapewa hizo swaga??!
Kuna kutongoza basi.. mwendo wa lifti, pombe, pesa na kumpeleka hotel nzuri wanagawa bila kutongoza tatizo linakuja next morning ghafla anataka kuwa mke wako.
Hao wa Ambiance sitaki hata kuwaskia, ukitaka kujua neno 'mawazo' kimatendo basi omba Mungu akupe nafasi kinga ikupasukie wakati unawamega hawa mandungaembe.
 
Kama utaniambia twende tukagongane sina haja ya kukupa mipango yangu unakuja na gia , ya I love u na bla bla nyingi we ndiyo mwenye makosa
 
Kama utaniambia twende tukagongane sina haja ya kukupa mipango yangu unakuja na gia , ya I love u na bla bla nyingi we ndiyo mwenye makosa
Ukiambiwa live bila chenga utaenda?? Tatizo mnapendwa kudanganywa kwanza
 
Kama utaniambia twende tukagongane sina haja ya kukupa mipango yangu unakuja na gia , ya I love u na bla bla nyingi we ndiyo mwenye makosa
Hebu nisaidie kwenye hili juzi kuna demu nimetoa out mara mbili na hadi nampeleka hotelini sijatamka I love you , nakupenda wala je t'aime kumbe mwenzagu alikuwa ananilia timing baada ya romance akakataa kutoa ka thong kake hadi nimwambia nampenda hivi kwa mazingira kama hayo unadhani nitamwambia simpendi? lakini najiuliza kwanini ameniforce vile?
 
Anamatatizo mpaka hotelini hajui anaenda kufanywa nini?
 
Anamatatizo mpaka hotelini hajui anaenda kufanywa nini?
Wapo wanawake wengi wanaingia hadi room wanajifanya hawajui kilichowapeleka halafu wanatumia ch*pi zao kama silaha za kutufanya tuwadanganye tunawapenda hii tabia inakera.
 
Back
Top Bottom