kuwait

  1. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya HIMARS yakirushwa toka Kuwait kuelekea kusini mwa Iran

    Video inayosambaa mtandaoni, ikionesha mabomu ya HIMARS yakirushwa toka Kuwait kuelekea kusini mwa Iran kwa mashambulizi yaliyofanyika jana usiku. Kabla ya hapo, waziri wa Kuwait alisisitiza kwamba nchi yake haitumiwi na jeshi la Marekani kuishambulia Iran.
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Maandamano Kuwait

    Kulingana na vyanzo ulivyotoa, neno "maandamano" na harakati za kudai mabadiliko zimezungumziwa katika mazingira mawili tofauti: maandamano ya wananchi katika nchi za Ghuba dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani, na wito wa vijana wa Tanzania kuchukua hatua za ujasiri kudai mabadiliko ya...
  3. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee sana Watanzania wenzetu waliopo Kuwait na nchi zingine hapo Uarabuni

    Sala zetu zinahitajika, nasikia kuna Wabongo wengi sana hapo Arabuni. Huyu Iran anafanya mambo ya ajabu sana hapo mashariki ya kati. Tuwaombee ndugu zetu.
  4. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Iran wanaonea Bahrain na Kuwait, mbona hawagusi Kambi ya Marekani iliyopo Israel? Wanawaogopa Israel?

    Iran wakipigwa na marekani basi haraka haraka wanakimbilia kurusha mafataki Yao huko Bahrain na Kuwait(kwa wanyonge) kwa kisingizio kuwa Kuna Kambi za marekani Israel Wana Kambi ya Marekani, Mbona Iran hashambulii Israel?? Jana na Leo marekani zipo ndege zao zinaruka kutokea Israel, Mbona Iran...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Marekani imetangaza kujiondoa katika kambi za kijeshi za Qatar, Bahrain, Kuwait, Iraq, Jordan, Umoja wa Falme za Kiarabu, Syria,

    Wanaukumbi. BREAKING 🚨 Marekani imetangaza kujiondoa katika kambi za kijeshi nchini Qatar, Bahrain, Kuwait, Iraq, Jordan, Falme za Kiarabu, Syria na nchi nyingine za Ghuba. Picha zinaonyesha wazi kuwa Iran imeshinda vita hivi. ================ For English Audience ================ BREAKING...
  6. U

    JamiiForums Tanzania The Department of War has named four of the six U.S. service members killed in a drone attack in Kuwait:,

    BREAKING: The Department of War has named four of the six U.S. service members killed in a drone attack in Kuwait: Capt. Cody A. Khork, 35, of Winter Haven, Florida; Sgt. 1st Class Noah L. Tietjens, 42, of Bellevue, Nebraska; Sgt. 1st Class Nicole M. Amor, 39, of White Bear Lake, Minnesota; and...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ndege tatu za Marekani zatunguliwa kimakosa na Kuwait

    Kamandi la Jeshi la Marekani (CENTCOM) imesema Machi 2, 2026 kuwa mfumo wa ulinzi wa anga wa Kuwait kwa bahati mbaya ulitungua ndege tatu za kivita za Marekani ikiwa vita dhidi ya Iran na Israel na Marekani ikiendelea. Kwenye taarifa yao, CENTCOM imesema: "Saa 5:03 usiku Machi 1, 2026 ndege...
  8. P

    JamiiForums Tanzania UAE, Kuwait zasema 4 wauawa, 90 wajeruhiwa katika mashambulizi ya Iran

    Falme za Kiarabu (UAE) na Kuwait zimesema kuwa watu wanne wameuawa na wengine 90 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani (drones) kutoka Iran, kufuatia shambulio la Marekani na Israeli dhidi ya Iran. Wizara ya Ulinzi ya UAE imesema katika taarifa yake kuwa mifumo...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait.

    TAARIFA MPYA: Italia imethibitisha kwamba kombora la Iran limepigia uwanja wa ndege unaotumika na vikosi vya Italia huko Kuwait, likisababisha uharibifu mkubwa kwenye reli ya ndege, lakini askari wa Italia wako salama bila kujeruhiwa,” kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Italia iliyo ripotiwa leo.
  10. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Jamani mfalme wa kuwait kafanya yake

    Kwa mapenzi makubwa kabisa hatimae Mfalme wa kuwait kaweka hadharani kubadili dini yake na kuwa mkristo akasema hata wamuue atakuwa na Yesu milele . Je kwa waislamu hii tuiteje imekula kwenu au hata hamjui mfanye nini. Waarabu walioileta dini yenu wanaokoka na kumfuata Yesu je itakuwaje nyie...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuwait yashikilia watu 67 kwa utengenezaji wa pombe haramu baada ya kusababisha vifo 23

    Mamlaka ya Kuwait imetoa taarifa kushika watu 67, akiwemo raia wa Bangladesh anayesemekana kuongoza mtandao wa uhalifu, kutengeneza na kusambaza vinywaji vya pombe vya kienyeji vilivyosababisha vifo vya watu 23 katika siku za hivi karibuni Taarifa iliyotolewa kwenye Mtandao wa X Agosti 16 2025...
  12. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kuwaenzi wafadhili toka Saudia, Kuwait & Iran

    Wafadhili hawa wamefanya mkubwa nchini, 1. Visima vya maji, 2. Ufadhili wa masomo (ngazi ya uzamili na uzamivu-Master na PhD), 3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara. 4. Tende.
  13. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

    Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman. Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

    Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel. ================== The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka wageni wa Kuwait, walipie ushuru wa hewa wanayopumua

    Hii ingesemwa uzunguni, mngesikia makelele hadi kuzimu...hawa waarabu ni makatili sana na mnavyopenda kuwaabudu huku mkivaa mikanzu na kuotesha mindevu mfanane nao... Kuwait MP calls for foreign workers to be charged “for the air they breathe” Safa Al-Hashem is among a group of MPs calling for...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umesikitika kifo cha Emir wa Kuwait, lakini umenyamaza kuhusu vifo vya Watanzania

    Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na kwenye Kibbutz Orr huko Israel. Mheshimiwa sana Mama rais, sijakuelewa. Je, ni kwamba husikitishwi...
  17. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania NATO wamefikwa na Nini? Mbona waliweza Kuwait na wakaweza Kosovo,wanashindwa Nini Ukraine?

    Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait. Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait. Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka...
  18. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa bongo kuna benki ya Kuwait?

    Wakuu naomba kujuzwa kama hapa Bongo kuna benki ya Kuwait kama ilivyo benki ya India! Kama ipo, utaratibu wa kufungua akaunti upoje?
  19. M

    JamiiForums Tanzania See the properties of the richest man in Kuwait who died a year ago

    Riches are sweet when a man is alive and enjoying all the riches but when breathe seize, all is gone and all you experience at that time is left for those you left behind to decide. Some take the pain of burying the dead man in good casket and even special burial ground just to give the last...
  20. Walnut Creek

    JamiiForums Tanzania Waarabu wa Kuwait wanaendeleza Utumwa

    Inasikitisha bado hawa watu wanauza binadamu wenzao. Guess what, wengi wanaouzwa ni Waafrika. Cheki link ya BBC. https://www.bbc.com/news/technology-50266663
Back
Top Bottom