Search results

  1. B

    Kampuni ya Aifola yazidisha uchafu Ilala

    Hii kampuni ya AIFOLA PRIME TRADERS Ltd imeanza kazi ya kukusanya takataka za majumbaji mwaka huu mwezi wa pili na kwa sasa wiki ya pili haijachikua taka mpaka zinatoka funza. Hivi wahusika wa serikali mpo wapi au mpaka mtumbuliwe? Afisa afya haonekani hapiti kukagua au mikataba ina harufu ya...
  2. B

    Kampuno ya AIFOLA yazisha uchafu ILALA

    Hii kampuni ya AIFOLA PRIME TRADERS ltd imeanza kazi ya kukusanya takataka za majumbaji mwaka huu mwezi wa pili na kwa sasa wiki ya pili haujachikua taka mpaka zinatoka funza Hivi wahusika wa serikali mpo wapi Au mpaka mtumbulie afisa afya haonekani hapiti kukagua Au mikataba ina harufu ya...
  3. B

    TCRA tunaomba ishungulikieni Airtel kwa huduma mbovu

    TCRA fanyeni kazi yenu hawa jamaa wanazingua saaana hela yetu tunawapa wakati huduma ya mtandao wao ni mbaya kuliko maelezo. Tunaomba muwafuatilie tena siku hizi hawafai kabisa.
  4. B

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    Prof. Muhongo tokea umeingia umekagua mashine zoote za kutumia maji nakuongele suala la bei ya umeme kwamba Tanesco wanazalisha umeme kwa bei ndogo Sanaa lakini tunaona halifanyiwi kazi .Pia tunaona Tanesco walituma punguzo la service charge EWURA mpaka leo hakuna Majibu sasa mnaonyesha slogan...
  5. B

    Waziri Ummy Mwaimu, Uchafu wa Masoko Hamuoni mpaka Kipindupindu kitokee?

    Tunaona Suala la Usafi linashidwa kusimawiwa ipasavyo haswa kwenye masoko wakati kila mara mnaongelea Kupindupindu Je kitaisha kwa mwenendo huuuuuu Angali Soko la ILALA Boma watu wanuza vyakula na tope zimejaa eeeeeee wengine wanaokota chini wanaenda kuuza tutapona kweli viongozi wa soko wakula...
  6. B

    Natafuta sehemu wanayototoleshea mayai Dar

    Please naomba kama kuna mtu anajua sehemu ya kutotoleshea mayai hapa DSM town tuwekee contact details hapa shukran
  7. B

    Prof. Muhongo TANESCO Ilala kuna jipu

    TANESCO Naona wamefeli kutuweke umeme stable mitaa ya ILALA toka toka tarehe 29/1/2016 unakatika Zaidi ya mara kumi Inaonekana kazi waishindwa ukiwauliza majibu “HATUJAJUA TATIZO LIPO WAPI BADO TUNAFUATILIA”whaaaaaaaaaaaaaaaat inafika wiki sasa hawajui tatizo lipowapi? Umeme mpakali lini...
  8. B

    Je Magufuli ataweza kupambana na rushwa ya customs bandarni na airport?

    CUSTOMS BANDARNI NA AIRPORT ina matatizo saana kwa rushwa na inaumiza saana wananchi wake. inakuwa inawasumbua ili kupata. Au kukuzidishia mzigo, kwa nini hatuwekewi sheria wazi za cutomes na escalation Matrix kama una sumbuliwa Wananchi hatujui sehemu ipi upeleke malalamiko na kwa uhakika...
  9. B

    TANESCO, Media wanamhujumu Waziri wa Madini

    Inaonekana TANESCO na Vyombo Vya Habari wanamhujimu waziri wa Madini na Nishati kwa sababu TANESCO wanakata umeme Kilasiku Zaidi ya masaa 10 Ukiwauliza hakuna mgao..... Vyombo vya habari Kimyaaaaaaaaa hakuna anaye zungumzia swala la umeme au kumhoji Waziri na huku alisema tatizo la umeme msahau
  10. B

    Kwa Wanahabari ...........

    hayahaya
  11. B

    Folder/ Files with blue words

    Habari wakuu Kuna files na folders zinakuwa na maneni yana rangi ya blue lakini sijayaweka kuwa hivyo inaweza kuwa ni nini? na jinsi ya kuyarekebisha?
  12. B

    Help for Grammar

    Habari wakuu Naomba Msaada wenu English Grammar Inasumbua Saana Kitabu au chochote chepesi kinaweza saidia Thanks
  13. B

    AJILA Vs AJIRA

    Wakuu Mambo VP Naomba mnidadavulie hayo maneno Asante
  14. B

    The best browsing Speed

    Habari wakuu Please ninahitaji kujua katika mitandao yetu hapa nchini TZ modem zake zina speed haswa ukiwa una streaming video/Radio online inakuwa haistop mara kwa mara Shukran tena kwa wooote
  15. B

    Web site for streaming UEFA Chamipon

    Hi Wanasoccer Please ninaomba web site yoyote ambayo ninawe kuangalia match za uefa Live Ta very much to all
  16. B

    4 or more Movies in 1 DVD

    Habari wakuu Please kuna mtu yoyote atusaidie jinsi ya ku burn movies 5 au kendelea kwenye DVD Thanks
  17. B

    soldiers wa Ukweli

  18. B

    Fresh Juice

  19. B

    DELL Optiplex 210L

    Wakuu naomba msaada nina desktop inatoa sauti ndogo saana japo nimeongeza mpaka mwisho kwa internal speaker. Nika connect external speaker but suiti ni ndogo saana Je inaweza ikawa inatatizo gani?
  20. B

    Nini tena.....@

    raha ya ushindi Video
Back
Top Bottom