Waziri Ummy Mwaimu, Uchafu wa Masoko Hamuoni mpaka Kipindupindu kitokee?

Bontowar

JF-Expert Member
Feb 21, 2009
520
53
Tunaona Suala la Usafi linashidwa kusimawiwa ipasavyo haswa kwenye masoko wakati kila mara mnaongelea Kupindupindu Je kitaisha kwa mwenendo huuuuuu

Angali Soko la ILALA Boma watu wanuza vyakula na tope zimejaa eeeeeee wengine wanaokota chini wanaenda kuuza tutapona kweli viongozi wa soko wakula pesa za ushuru tu lkn usafi hakuna
wachukuliwe hatuaaaaaa

Soko la Buguruni pia ni hatari ukipita barabarani tu haruufuuuu

Waziri wa Afya Ummy Mwalim Upoooooooooooooo tunaomba lifanyiewe kazi

Hizo picha soko lala ILALA Boma
 

Attachments

  • DSC_1575.jpg
    DSC_1575.jpg
    330.6 KB · Views: 61
  • DSC_1576.jpg
    DSC_1576.jpg
    322.6 KB · Views: 40
  • DSC_1577.jpg
    DSC_1577.jpg
    299 KB · Views: 46
  • DSC_1578.jpg
    DSC_1578.jpg
    257 KB · Views: 62
  • DSC_1579.jpg
    DSC_1579.jpg
    346.5 KB · Views: 42
  • DSC_1580.jpg
    DSC_1580.jpg
    407.6 KB · Views: 36
Mpaka kwenye sherehe ya uhuru December mwaka huu ndiyo tutasafisha, wala usimlaumu mkuu wa mkoa
 
upload_2016-2-11_11-58-18.png
 

Attachments

  • upload_2016-2-11_11-48-7.png
    upload_2016-2-11_11-48-7.png
    101.2 KB · Views: 36
  • upload_2016-2-11_11-50-6.png
    upload_2016-2-11_11-50-6.png
    123.2 KB · Views: 29
  • upload_2016-2-11_11-51-20.png
    upload_2016-2-11_11-51-20.png
    133.6 KB · Views: 28
SASA inashangazaaaaa ni jirani na OFISI ya MKUU wa MKOA jamani Kama hayupo mimi huwa simuelewi
 
hahah kapo sasa na sisi bila ya kusema watazoea
Maana haya ni mambo ya mtaani sasa waziri azungukie masoko mangapi wakati viongozi wa maeneo husika wapo.
Au wanawaza kuchagua meya tu?
 
Ktk mawazir wenye uwezo mdogo basi ni uyo ummy cjui bahat yake kapewa kigwangara
 
Maana haya ni mambo ya mtaani sasa waziri azungukie masoko mangapi wakati viongozi wa maeneo husika wapo.
Au wanawaza kuchagua meya tu?

Mkuu bila kumwambia waziri hafanyi kazi chini badoooo wanajuana juana sanaaaaaaaa
 
alafu utakuta manispaa inayo wataalamu/maafisa wa afya na mazingira ambao wanashindwa kusimamia/utekelezaji wa majukumu yao hadi magonjwa ya milipuko yanapotokea.
kama kuna mtu ana details za hao wahisika wa ilala aziweke hapa
 
Halafu hata mkuu wa wilaya hivi yupo? au hakuna hapo hajachakuliwa hatujawahi kumsikia hata kidogo

wahusika mpoooo tunataka majibu kuanzia kwa Waziri
 
Wakuu wa wilaya nao wafanye ziara za kushtukiza kwenye haya masoko, wafukuzwe kazi, si ndio mtindo wa kufanya kazi kwa hii awamu ya tano? waende kila mahali zinapopatikana huduma za kijamii.
 
Soko kama la Morogoro na Mawezi (yote hapa morogoro) utadhanni viongozi wa manispaa na wengineo hawanunui vitu hapa.
 
Tunaona Suala la Usafi linashidwa kusimawiwa ipasavyo haswa kwenye masoko wakati kila mara mnaongelea Kupindupindu Je kitaisha kwa mwenendo huuuuuu

Angali Soko la ILALA Boma watu wanuza vyakula na tope zimejaa eeeeeee wengine wanaokota chini wanaenda kuuza tutapona kweli viongozi wa soko wakula pesa za ushuru tu lkn usafi hakuna
wachukuliwe hatuaaaaaa

Soko la Buguruni pia ni hatari ukipita barabarani tu haruufuuuu

Waziri wa Afya Ummy Mwalim Upoooooooooooooo tunaomba lifanyiewe kazi

Hizo picha soko lala ILALA Boma

Kwani uongozi wa soko ambao unapatikana eneo husika, wanayaishi hayo yote wapo wapi? mpaka umfikirie waziri! Hebu angalia; Serikali ya mtaa, diwani, mbunge, wilaya, mkoa wote wapo, kwa kawaida waziri akifika hapo inatakiwa hawa wote wawe wamewajibika.

Waziri akifanya kila jambo si atakuwa kichaa???
 
Tatizo la usafi hasa jijini D'salaam lina lawama pande mbili Serikali na wananchi lakini hasa ni serikali kwa upande wa halmashauri zake,kwa tuliopata kuwa Dsm kwa muda mrefu tuna kumbuka toka mkoloni mpaka mwisho wa miaka ya 70 kila nyumba iliyokuwa katika mpangilio wa jiji ilikuwa na pipa la Plastic la taka na magari ya halmashauri ya jiji yakipita mara tatu kwa wiki kuzoa taka mitaani,ulikuwa ni utamaduni mzuri sijui hata kulitokea nini na mara ya mwisho kuona magari ya taka ya halmashauri mitaani ni yale yaliyo kuwa na maandishi CALABRESE yaliyo kuwa yana beba na kusaga taka, baada ya hapo ndio wananchi wame jihalalishia kutupa taka kwenye mifereji isiyo kusudiwa kwa kazi hiyo kwani, halmashauri zime wapa kazi 'watafutaji' wenye magari yao mawili matatu mabovu ulaji ila ndio hakuna lolote linalo fanyika ila kodi ina pokelewa,na masokoni na mitaani kote kumeoza,halmashauri zimeingia Gizani, KIPINDUPINDU IS HERE TO STAY.
 
Back
Top Bottom