TCRA tunaomba ishungulikieni Airtel kwa huduma mbovu

Bontowar

JF-Expert Member
Feb 21, 2009
520
53
TCRA fanyeni kazi yenu hawa jamaa wanazingua saaana hela yetu tunawapa wakati huduma ya mtandao wao ni mbaya kuliko maelezo.

Tunaomba muwafuatilie tena siku hizi hawafai kabisa.
 
Back
Top Bottom