Prof. Muhongo TANESCO Ilala kuna jipu

Bontowar

JF-Expert Member
Feb 21, 2009
520
53
TANESCO Naona wamefeli kutuweke umeme stable mitaa ya ILALA toka toka tarehe 29/1/2016 unakatika Zaidi ya mara kumi

Inaonekana kazi waishindwa ukiwauliza majibu “HATUJAJUA TATIZO LIPO WAPI BADO TUNAFUATILIA”whaaaaaaaaaaaaaaaat inafika wiki sasa hawajui tatizo lipowapi?

Umeme mpakali lini matatizo yataishaaaaaaaaaaaaaa

Pia wanaweka General line ya Airtel siku zote haipatikani na ipo kwenye tovuti yenu mnamaanisha nini 0784 768 586

upload_2016-2-4_8-59-51.png

TUMBUA HILI JIPUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

Rais Magufuli TANESCO JIPU LIMEIVAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Attachments

  • upload_2016-2-4_8-58-53.png
    upload_2016-2-4_8-58-53.png
    3 KB · Views: 34
Mimi nikisikia neno tanesco naona vitu vingi sana, naona Richmond, naona escrow, namuona chenge, namuona prof. Tibaijuka, namuona Lugemalila aisee mpaka nachanganyikiwa
 
Mkuu, tatizo la TANESCO linaweza lisiwe Waziri (pamoja na kwamba yeye ndiye mwanasiasa anayewajibika). Waziri anatakiwa awaangalie sana hawa Mameneja wa mikoa. Hivi kazi yao ni nini? hivi wanapangiwa malengo ya kazi na kupimwa utendaji wao wa kazi? Huduma za TANESCO kila mahali ziko chini sana. Sijawahi kuona shirika lenye urasimu mkubwa katika kila huduma kama TANESCO kwa sasa. Lazima Waziri awaburuze hawa Mameneja wa mikoa ili nao wasimamie uwajibikaji wa watumishi wa chini yao.
 
kweli kabisa sasa na sisi bila ya kusema haitasadiio
 
Kwa wakati huu nimzuri kuongea sababau action inaoneka kidogo inachuliwa

kinachotakiwa Je malamiko haya tutafikisha wapi? hakuna escalation matrix iliyo wazi tujue pakupeleka matatiozo haya, wadau kama kuna mtu anaweza asaidie tujue malalamiko pa kuyapeleka

Tusaidiane ili watu wachukue majukumu yao kikamilifu wametutesa sanaaaaaaa wafanyakazi wa tanesco wanafanya utafikiri kampuni yao.

customer care anakufokeaaaaaaaaaa ahhhhhhhhhhhhh this is badddddddddd

wadau hili tuasadiane tupate kipimo cha waziri na wengineooooooooooooo
 
Tafadhali mkuu kama kuna muhudumu kwa wateja ambaye hajakujibu vizuri au kakufokea naomba utaje jina lake na ni kituo kipi cha emergency ambacho umepiga simu, na pia kama kuna malalamiko zaidi kuhusu ilala kuhusu huduma mbaya au kutosikilizwa kwa namba uliyoitaja basi tafadhali piga 0653062220 ili tuweze kukuhudumia
 
Mkuu kama unafanya kazi hapo nataka kujua je tatizo lala ILALA mnalitatua liniiiiiiiii hawezekani muhudumu unammuuliza lini anasema wanaendele kutafuta tatizo wiki nzimaaaaaaaaaaaa

when are we going to get stable power ?

HUDUMA ILALA ni MBAYAAAAAAAAAAAAAAA
 
Kuhusu kukatika kwa umeme tumekuwa tukitoa taarifa mapema na kwa yale makatizo yanayopangwa na yale ya dharula kutokana na hitilafu tumekuwa tukiwapa taarifa ya kuomba radhi kwa kupitia televisheni, magazeti na redio na hata kwa kutumia gari la matangazo. Tafadhali kama ukikosa huduma inayostahili katika mkoa wa Ilala piga simu au fika ofisi ya huduma kwa wateja upate msaada zaidi.
 
Mkuu kama unafanya kazi hapo nataka kujua je tatizo lala ILALA mnalitatua liniiiiiiiii hawezekani muhudumu unammuuliza lini anasema wanaendele kutafuta tatizo wiki nzimaaaaaaaaaaaa

when are we going to get stable power ?

HUDUMA ILALA ni MBAYAAAAAAAAAAAAAAA

Mkuu labda useme ni maeneo gani ambayo hayana umeme kwa wiki nzima? Kumekuwa na interuptions kadhaa kutokana na matengenezo ya kiufundi ambayo tumewapa taarifa ila hakuna sehemu ambayo imefululiza wiki nzima! Na pia huduma mbaya kwa upande labda ili niweze kukusaidia zaidi
 
Mkuu sijasema hakuna umeme ni hiyo interruption more than ten + per day haikubaliki mnatuharibia vitu na jana mlikata kuanzi 19hrs mpa 1 hrs na hii interruption since saturday till yesterday na tatiozo hamlijua lipo wapi as per your support team

Upande ni ILALA shrif Shamba, Bungoni pia
 
Jana ilikuwa ni emergence na tumeomba radhi leo asubuhi kupitia Clouds FM na Upendo Radio njia ya umeme mkubwa ilikatika pale karume hivyo maeneo yote uliyoyataja ni kweli hayakuwa na umeme mpaka saa saba! So matukio kama hayo ambayo hayajapangwa ni vigumu kutoa taarifa mapema ndio maana tunaomba radhi baada ya matengenezo kukamilika. Tunaendelea na maboresho na usisite kutoa taarifa mara tu unapopata matatizo ya kukosa umeme na tutakueleza sababu na kutatua kwa wakati
 
Jamani hebu sometimes muwe mnaiongelea vizuri tanesco kukitokea tatiZo kidogo tuu jipu ina maana hata kwako au cjui kwenu kukitoka tatiZo ni jipu jaribu kutumia msemo wa jipu vizuri kabla hujapublish public kama huyo mmoja alikujibu vibaya nenda kwa meneja wake nakumbuka Tanesco waliwahi kutoa namba za meneja wao Tanzania nzima katika mitandao.tuweni na utu japo kidogo.
 
Kinachotakiwa ni Mteja kufika au kupinga namba sahii ya emergency ila ukiona umejibiwa tofauti ni bola ukatoa taarifa Kwa ngazi ya juu ikiwezekana uliport na muda na majibu uliojibiwa ikiwezekana na jina la aliyekujibu vibaya. Maana mambo mengine tutaishia kulaumu bila kupata majibu sahii
 
namshukuru huyo msemaji wa Tanesco kujitokeza na kujibu hoja mbalimbali na pia kutoa namba za malalamiko ila hata mimi niliwahi kuandika barua Tanesco ya kubadilishiwa tarrif kutoka tarrif i kuja tarrif 4 walinijibu barua yangu tarehe 7 na kunieleza swala langu wataanza kushugurikia baada ya siku tatu ikiwa pamoja na kufanya ukaguzi wa mita ninayotumia na baada ya siku 15 za kazi litakuwa limepatiwa ufumbuzi.Baada ya muda kufika bila kuona jambo lolote nilirudi tena Tanesco ilala na kuwauliza nini kinaendelea, walinielekeza kwenda ghorofa ya pili kuonana na wahusika.Nilienda hadi huko baada ya kuwaeleza waliniambia inabidi nipeleke nakala ya barua yangu kwa sababu wao wanatakiwa wapate nakala na ili wakague na kupeleka taarifa idara ya uhasibu.Kinachonishangaza kwanini Tanesco hawakunieleza taratibu hizo wakati wanajibu barua yangu.Lakini pamoja na kupeleka nakala ya barua yangu mpaka sasa sijapata jibu lolote
 
Hata mimi nashukuru kwamba kuna wasemaji wa Tanesco wanafuatilia majadiliano kwenye mitandao. Kama Msemaji wa Mbeya yupo, tumpe data pia. Maana huu ni mmoja ya mikoa ambayo huduma za Tanesco ziko chini sana! Hata kulipia bills za umeme tu, watu wanashinda kwenye foleni. Ikumbukwe mkoa wa Mbeya ni wateja wachache sana wanaotumia mashine za luku. Emergency section ndio usiseme kabisa! nitampa mpaka reference numbers ya kesi ambazo zimesharipotiwa zaidi ya miezi miwili ambazo hazijashughulikiwa. Kwa sababu wanasema " Hapa Kazi Tu" na sisi hatutanyamaza.
 
Jamani hebu sometimes muwe mnaiongelea vizuri tanesco kukitokea tatiZo kidogo tuu jipu ina maana hata kwako au cjui kwenu kukitoka tatiZo ni jipu jaribu kutumia msemo wa jipu vizuri kabla hujapublish public kama huyo mmoja alikujibu vibaya nenda kwa meneja wake nakumbuka Tanesco waliwahi kutoa namba za meneja wao Tanzania nzima katika mitandao.tuweni na utu japo kidogo.

mkuu tunaomba number ya hao ma mangers itakuwa vizuri
 
Jana ilikuwa ni emergence na tumeomba radhi leo asubuhi kupitia Clouds FM na Upendo Radio njia ya umeme mkubwa ilikatika pale karume hivyo maeneo yote uliyoyataja ni kweli hayakuwa na umeme mpaka saa saba! So matukio kama hayo ambayo hayajapangwa ni vigumu kutoa taarifa mapema ndio maana tunaomba radhi baada ya matengenezo kukamilika. Tunaendelea na maboresho na usisite kutoa taarifa mara tu unapopata matatizo ya kukosa umeme na tutakueleza sababu na kutatua kwa wakati

Mkuu nashukuru kwa maelezo mazuri tunaomba tupate escalation matrix na number za hao ma Manager itasaidia sanaa
 
Hata mimi nashukuru kwamba kuna wasemaji wa Tanesco wanafuatilia majadiliano kwenye mitandao. Kama Msemaji wa Mbeya yupo, tumpe data pia. Maana huu ni mmoja ya mikoa ambayo huduma za Tanesco ziko chini sana! Hata kulipia bills za umeme tu, watu wanashinda kwenye foleni. Ikumbukwe mkoa wa Mbeya ni wateja wachache sana wanaotumia mashine za luku. Emergency section ndio usiseme kabisa! nitampa mpaka reference numbers ya kesi ambazo zimesharipotiwa zaidi ya miezi miwili ambazo hazijashughulikiwa. Kwa sababu wanasema " Hapa Kazi Tu" na sisi hatutanyamaza.

Frank tunaomba ulijibu hili na treborx toa reference numbers ya hizo kesi
 
Back
Top Bottom