Hii kampuni ya AIFOLA PRIME TRADERS ltd imeanza kazi ya kukusanya takataka za majumbaji mwaka huu mwezi wa pili na kwa sasa wiki ya pili haujachikua taka mpaka zinatoka funza
Hivi wahusika wa serikali mpo wapi Au mpaka mtumbulie afisa afya haonekani hapiti kukagua Au mikataba ina harufu ya rushwa?
President JPM hawa ndio wanachelewesha kasi yako washughulikiwe