Mwizi tuu huyo, na ni bonge la jipu linalohitaji mtumbuzi. Deal zake zote na serikali ni viini macho na maigizo, kuanzia Ubungo plaza, Quality Mall na zinginezo
Wengi walio nunua hivi viwanja walifanya hivyo wakijua sio sahihi, nani hasiyejua open space au chanzo cha Maji au ukingo wa mto, au njia ya Maji ya msimu.
Hajabana matumizi, ila anafanya vitu kutokana na vipaumbele, badala ya kwenda Ulaya vacation, unanunua dawa za wagonjwa au unasomesha watt wa maskini nk nk. Ni sawa na mzazi huwezi chukua hela kwenda kutanulia wakati nyumbani kuna dhiki kibao,
Rocket sio ndege ni ile inayotumika kurusha vitu vinavyoenda anga za juu, uwa unaenda mpaka kile kifaa kifike kwny eneo la hewa ya uvutano halafu yenyewe uwa Mara nyingi inasambaratika na kuanhukia baharini au jangwani
Ndio maana sehemu za kurusha ni pembeni mwa baharini au jangwani
Unajua Wabongo mtu akiwa na vijisent kidogo anaanzisha madharau, sasa ukute ana uhusiano na mkubwa fulani ndio inakuwa jeuri mara 100, kwa hiyo ww bosi unaweza sema hapana wala hatojali, si ajabu wengine wanaendaga hata kabla ya kupewa likizo
Hapa sasa ndio kuna tofauti kati yake na wenzake wawili, anaposema yamulikwe nani afanye hilo. Yy ndio anatakiwa ayafuatilie na atoe maamuzi otherwise ndio yale yale ya Pinda na JK
Bodi nyingi za mshirika ya umma zimejaa waganga njaa ambao hawajui majukumu yao ni nn, wanawanyenyekea mabosi badala ya wao kunyenyekewa, wantetemekea posho kama vile huyo bosi anzitoa mfukoni kwake, wengine ni unemployed kila siku utawakuta ofisi za mashirika kama vile ni muajiriwa
Tulikuwa nao wengi tuu huko nyuma nn wamefanya, ndio vizuri acheleweshe hata mpaka mwakani maana Najua wengine watasubiria magari ya uwaziri ili waemde vijijini kwao kuosha sura
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.