SAMIAH:Waliopewa tender za kusafisha miji wamulikwe....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,140
116,069
Kati ya wote waliozungumza leo kwenye zoezi hili la usafi
angalau Samia Suluhu kazungumza cha maana zaidi
aliposema haiwezekani makampuni yanapewa tender kila mtaa Dar
lakini jiji bado chafu
hayo makampuni yamulikwe na taarifa apelekewe....

source tbc1....

Hili ni better zaidi kwa kweli
zoezi liwe symbolic zaidi lakini usafi haya makampuni yanayolipwa mamilioni
yachunguzwe
 
Usafi nitafanya kwangu lakini sio stendi ama sokoni
Hizo Halmashauri za Jiji na Manispaa ushuru wanachukua halafu wanapeleka wapi?
 
Hiyo hata mimi nakubaliana nayo.

Iweje nchi iwe chafu namna hii halafu iwe kama tunategemea siku moja tu kusafisha?

Walipa kodi wote leo ingepaswa warudishiwe kiasi cha kodi walicholipa kwa kufanya kazi ambayo kodi zao zingepaswa kuifanya.

Haiingii akilini watu kufanya shughuli ambayo ilipaswa kufanywa na ushuru/kodi zao.

Ingekuwa kwingine ambako watu wengi wana utanabahi na elimu ya uraia pasingekalika kabisa.

Kingenuka huko kwenye manispaa.

Lakini kwa Watanzania aaah....ndo kwanza wanashika mifagio yao ya chelewa na kwenda kufagia.

Akijitokeza mmoja na kuhoji anaishia kuporomoshewa mitusi tu.

Sasa baada ya leo nini kitafuata? Tutasubiri tena mpaka 9 Disemba 2016?
 
Ngabu
hujaona in a way Samiah anakosoa zoezi zima kiaina?
kaongea kitu ambacho wengine wameogopa kuongea
kaongea kisiasa tu zaidi......

Wanaotukana kwa mtu kuhoji kitu kama hiki ndo wanathibitisha hili taifa
lina matatizo so deep......hasa ya uelewa wa watu
 
Hata mimi haya maigizo niliyakataa.Sitafanya usafi eneo ambalo kimsingi ipo mamlaka ambayo inapaswa kuwajibika lakini haijatimiza wajibu wake.Ila kwangu sitasubiri Dec.9,usafi ni all year round.
Usafi nitafanya kwangu lakini sio stendi ama sokoni
Hizo Halmashauri za Jiji na Manispaa ushuru wanachukua halafu wanapeleka wapi?
 
The Boss hiyo ya Samia kukosoa 'in a way' looks like mnashare the same view. Now apart from kuwajibisha hayo makampuni, unafikiri kitu gani kingine kingefanyika badala ya kufanya usafi siku kama hii ya leo?
Just asking
 
Kati ya wote waliozungumza leo kwenye zoezi hili la usafi
angalau Samia Suluhu kazungumza cha maana zaidi
aliposema haiwezekani makampuni yanapewa tender kila mtaa Dar
lakini jiji bado chafu
hayo makampuni yamulikwe na taarifa apelekewe....

source tbc1....

Hili ni better zaidi kwa kweli
zoezi liwe symbolic zaidi lakini usafi haya makampuni yanayolipwa mamilioni
yachunguzwe

Wamepewa tenda ya kufanya usafi au kuzoa taka? Kama wananchi hamjakusanya taka watazoaje?
 
Hapa sasa ndio kuna tofauti kati yake na wenzake wawili, anaposema yamulikwe nani afanye hilo. Yy ndio anatakiwa ayafuatilie na atoe maamuzi otherwise ndio yale yale ya Pinda na JK
 
Kampuni zenyewe na madiwani na mabosi wa manispaa sijui majiji unategemea nini mkuu

Hala eti leo wanataka watu wakafanye usafi ...ma wakati kampuni zipo ......za usafi na zinalipwa
 
Nchi yenywe watu wenye akili ndogo kama chawa. Hata marais wastaafu nao na mifagio. As if hamna mabwana na mabibi afya kila kata. Kesho huyo rais akisema cho chote atakacho lazima wakubali tuu. Ndiooooo.Huyu Suluhu mbona hakuwahi kumwuuliza mkurugenzi wa hiyo manispaaa kwa nini eneo lake ni chafu?
 
The Boss hiyo ya Samia kukosoa 'in a way' looks like mnashare the same view. Now apart from kuwajibisha hayo makampuni, unafikiri kitu gani kingine kingefanyika badala ya kufanya usafi siku kama hii ya leo?
Just asking

Mimi honestly napinga kabisa hili zoezi
kuhusu nini kingine kifanyike
binafsi naona tulipaswa tazama nchi zingine wanafanyaje
South Africa wanatengeneza umeme kwa uchafu na takataka
uchafu umekuwa mali..makampuni yanakusanya yanauza kwa kampuni inayotengeneza umeme
kwangu hiyo better idea....
 
Hivi usafi ni dar Tu?
Watu Wa dar maskini wachafu wamezoea uchafu ndo sehemu yao Leo wanaona usafi ni muujiza Wa mwaka
Watu Wa dar ni wachafu jamani
Anzia vichanga vyao hadi wazee! Huko magroup yetu wadada kila siku utawasikia wakishauriana Tu midawa ya fangasi na uti kwenye papuchi Zao
Ila wacheki sura zao kama malaika vile.
Sasa jiulize uti na fangasi chanzo chake nini?
Ukija wanaume wao sasa usiombe uende nae mmmh utakutana na msitu Wa amazon kama steel wire
Usafi uanzie kwenye family bna makapuni yaje wafulia hata vyupi
Mbona mikoani tupo safi
Najua mtasema population!!
 
Wananchi ndo tunakusanya?
mimi sijui kama mikataba yao ndo inasema hivyo
khaa upo serious?
Swala la usafi linaanza kwa user department ambayo ni mtu binafsi mfano me mdada nipo period nimetumia ped then niiweke sehemu husika wale wakija wakachome huko.
Kwahiyo nikiiweka uvunguni kampuni ije ichukue?
Au nikiitupa chooni choo kikaziba mimavi ikaanza kutiririka kitaa kampuni ije izibue.
Usafi ni swala la mtu binafsi hizi kampuni ni final user Wa uchafu.
Yeye hana nguvu na source za huo uchafu
Na dar nyie wachafu Tu hata mngeletewa nini kipindupindu kwenu kitabaki tu
 
Back
Top Bottom