Kwanini nchi huitwa (her)? Mfano 'Tanganyika got her independence'..

Hawa umenikumbusha baadhi ya matumizi ya maneno, kwa mfano kwenye Quran, Mwenyezi Mungu anasema, we have created, na kwenye speech ya queen wa Uingereza ingawa yeye ni head of the state huwa anasema We are going, or we did this.......Hii wataalam husema inamaanisha supremacy. Kwenye she nitarudi
 
Kwa kiingereza you can refer your country as 'mother country' (hence 'SHE') and NOT 'father country' (HE).
 
Naomba kuongezea swali na kwanini meli (ship)hutumia pronoun ya she?

Si meli tu, hata gari moshi(train) hutumia she.moja ya sababu kuu ni tabia umama kubeba mtoto ndani ya tumbo lake.kwa hiyo kwa sababu tunasafiri tukiwa ndani yake huonekana tu watoto tumboni.
 
marekani inajinsia mbili. ikiwa ya kike inajiita Columbia na ikiwa ya kiume inajiita uncle Sam.
 
Hawa umenikumbusha baadhi ya matumizi ya maneno, kwa mfano kwenye Quran, Mwenyezi Mungu anasema, we have created, na kwenye speech ya queen wa Uingereza ingawa yeye ni head of the state huwa anasema We are going, or we did this.......Hii wataalam husema inamaanisha supremacy. Kwenye she nitarudi
hiyo itakuwa ishu ya royal we.
 
It depends na lugha ambayo inatumiwa like in French Kuna baadhi ya nchi zinatumia kama jinsia ya kike na zingine zinatumia jinsia ya kiume.. Iyo inatokana na jina ya inchi itakavo kaa.. Kama tulivo fundishwa kw French kwamba Jina inayo ishia na erufi " E" basi iyo jina ipo kwenye jinsia ya kike.. Sina wakika zaidi lakin nacho kumbuka ni kwamba mwalimu wetu wa French aliwahi kutwambia kwamba French imetoka kwenye lugha ya ki latino " lat?n " na baada ya French kukakuja English ikiwa inamanisha kwamba English imetoka kwenye French lakin izo lugha zote mbil origin zao ni latin.. Na ndo maana baadhi ya maneno mengi ya French na English it is the same ila tofauti ipo kwenye prononciation... Refer to the thread nazan mtanielewa why inchi zingine zinapachikwa jinsia ya kike na zingine jinsia za kiume
 
Hapa kuna ilmu kubwa sana hata baadhi ya waingereza hawawezi kujibu

Mkuu hii lugha ina vituko vyake,jambo lengine ambalo hata wao wenyewe linawashangaza ni maneno yanatamkwa tofauti na yanavyoandikwa.
 
It depends na lugha ambayo inatumiwa like in French Kuna baadhi ya nchi zinatumia kama jinsia ya kike na zingine zinatumia jinsia ya kiume.. Iyo inatokana na jina ya inchi itakavo kaa.. Kama tulivo fundishwa kw French kwamba Jina inayo ishia na erufi " E" basi iyo jina ipo kwenye jinsia ya kike.. Sina wakika zaidi lakin nacho kumbuka ni kwamba mwalimu wetu wa French aliwahi kutwambia kwamba French imetoka kwenye lugha ya ki latino " lat?n " na baada ya French kukakuja English ikiwa inamanisha kwamba English imetoka kwenye French lakin izo lugha zote mbil origin zao ni latin.. Na ndo maana baadhi ya maneno mengi ya French na English it is the same ila tofauti ipo kwenye prononciation... Refer to the thread nazan mtanielewa why inchi zingine zinapachikwa jinsia ya kike na zingine jinsia za kiume

Huyo mwlm wako akikudanganya sana kuhusu hizo mizizi ya lugha ya kifaransa na kiingereza. Kiingereza kipo kundi la germanic languages na kifaransa ndo kipo latin languages pamoja na kireno, kihispaniola na kiitalia. Alafu lugha fulani kuwa na maneno mengi kutoka lugha nyingine haimanishi ndo chanzo cha lugha husika. Mfano kiswahili kina 60% ya maneno ya kiarabu lakini huwezi kusema chanzo cha kiswahili ni kiarabu ukaonekana umeenda shule. Kwahiyo kuna sababu znazopelekea kuingiliana kwa maneno kwenye lugha kama vile kutawaliwa, maneno ya kukopa na muingiliano wa watu kutokana na biashara n.k.
 
Asante mkuu nimekupata umeniongezea kitu leo
 
Hata wanyama wote haijalishi ni ke au me wote ni she, huwa najiuliza sana kwa nini?
 
sidhani kama ni kweli umeandika! kwa wanyama kuna majina ya kiume na kike,kama bull na cow,he goat na she goat, lion na lioness,dog na bitch,etc.
 
Back
Top Bottom