Mmh!!....Katibu Mkuu ameamua kufanya kazi jumba bovu lisije kumuangukia,ni aibu sana kuona agizo la Mkuu wa nchi linapuuzwa na watu ambao anategemea wamsaidie kwenye kazi zake.
acha waisome namba
Hawaamini kama Magu ndio Boss, Wanafikiri mkwele ameenda likizo.duh walijua magu anamfanyia kazi jk au?
wafanyakazi wa serikali wapitie tena kanuni na sheria zao za kaziHawaamini kama Magu ndio Boss, Wanafikiri mkwele ameenda likizo.
Na hapa ndo kuna safari kede kede za nje ya nchi,
Sema huyu KM anapanic sana since Magu kaingia kwenye hatamu