elia stephen
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 263
- 81
Angevaa mgolole hapo ndipo maigizo yangenoga. Hamna cha umaskini wala nini. Sasa zungusha mikono.
Usiishi kwa mazoea kama hao ng'ombe wanaochungwa
Angevaa mgolole hapo ndipo maigizo yangenoga. Hamna cha umaskini wala nini. Sasa zungusha mikono.
Nilichojifunza kwenye hii thread ni ufugaji. Lowassa amenipa kitu kichwani. ukiwa na ng'ombe kiasi hiki mbona furaha
Mchungaji ana bodyguard! Naamini huyu Mzee alipata First Class yenye Hons degree yake ya sanaa na Maigizo chuo kikuu cha Dar es salaam!
Nilipiga kura ya Rais/Mbunge na Diwani katika jimbo langu, wote walichukua CDM ila urais kitaifa wamechukua magamba :angry: Rais wangu mamvi.
Ngoja aumwe na nyoka huko porini ndio atajua madhara ya usanii. Mchungaji gani wa ng'ombe anayevaa shati la Versace, suruali toka duka la Harrods na viatu vya kiitaliano akiwa mbugani?
Ahsante sana. Hiyo ndo kazi anaiweza. Mengine alikuwa anajiforce tu
akili yake ndipo ilipogota.
Hata Nyerere alirudi Butiama na kushika jembe.
Na JK nae akafundishe kama alivyowahi kuahidi.
Mchungaji ana bodyguard! Naamini huyu Mzee alipata First Class yenye Hons degree yake ya sanaa na Maigizo chuo kikuu cha Dar es salaam!