Dhamana ya akina Masamaki wa TRA ni bilioni sita

Hilo ndio fundisho kwa wengi. Unaitia serikali hasara sasa wale waliokuwa wanawahonga wawasaidie ..... .... .. patamu hapo. Then siku hizi hata ukimbie kuna Interpol watakunyaka tu kama wanataka. Serikali ina mkono mrefu. safi sana JPM safisha nchi.
 
lowasa si amsaidie hapo vodacom kwa siku wanaingiza sio chini ya bilion 3. au ndo wanajifanya hawamjui wakati wanachangia ukawa
 
Magufuli mwisho wake ndiyo huo atafute gia nyingine hapo naona kabisa hakuna kesi kwa walivyoshupalia suala hilo kwa macho tu mbona ni kosa la uhujumu uchumi jiulize kwa nini iwe jinai ya kawaida tu kuna wakubwa wapo nyuma yake hapo
 
Wajuzi wa sheria naomba mtusaidie hawa jamaa moja ya mashtaka yao ni kuisababishia serikali hasara zaidi ya bilioni 12, taarifa nyingine zinadai kuwa wadaiwa tayari wamerejesha kiasi cha bilioni 10. Kisheria hii imekaaje shtaka linatakiwa kufanyiwa marekbisho au linabaki kama lilivyo?
 
Kikwete ama Ridhiwani watakuwa wanachekelea bafuni kwa dau dogo kama hilo....kwa vyovyote watakuwa wameshatoa tayari hizo pesa kwa ndugu wa jamaa husika. Kwa kweli rais Magufuli inabidi atutendee haki watanzania. Inakuwaje jambazi akikamatwa tunaliua tena bila huruma ila Kikwete na wizi wote wa mali ya umma bado anachekelewa na serikali, haki iko wapi hapa?

Kikwete anastahili kufungwa maisha mkuu sijaona ufisadi kama wake na wa serikali yake
 
Kwa mara ya kwanza, nimesikia Jaji akitamka neno hilo; Billion 2. Ati hizo ziko kwenye akaunti ya mtu, aliyejenga nyumba 73 zake mwenyewe acha anakokaa.
Nkajiuliza, nipo Tanzania au Zimbabwe? Kuna watu wana mihela hiyo kweli? Ndo maana wengine wanaziita; Hela za madafu, wengine wanaziita Vijisenti, wengine ati Hela ya mboga za majani.
Aksanteni kwa kunifungua macho. Kumbe niwe nikisema, Sina hela wala nisisema hatuna hela
Mie ndo nasikia toka kwako !!billion 2 cash??
 
Wajuzi wa sheria naomba mtusaidie hawa jamaa moja ya mashtaka yao ni kuisababishia serikali hasara zaidi ya bilioni 12, taarifa nyingine zinadai kuwa wadaiwa tayari wamerejesha kiasi cha bilioni 10. Kisheria hii imekaaje shtaka linatakiwa kufanyiwa marekbisho au linabaki kama lilivyo?

Kazi kweli kweli hapo kama hakuna ushahidi wao waliruhusu yatoke... itabidi yageuke yawe uzembe.
Bandarini kuna wizi sana na hata huko ICD so unaweza kuja kuona kumbe yale yalipigwa dili na clearing agents ...
 
Ukawa watamchangia si alikuwa mtu wao

Acha akili mbovu kwenye mambo muhimu ya kitaifa. Hawa hiyo pesa wanayo. Serikali inatumia hiyo kama nafasi ya wao kuthibitisha kuwa ni wezi. Bilioni 2 kwa mtumishi wa umma atazitoa wapi kama sio kutaka kuwaambia wazilete walizoziiba
 
Naapa kwa jina la mama yangu huo ni MTEGO.

1450247950704.jpg Sema kwamba wewe ndio huna hiyo 2b. Kwa akina Makambale kwao ni ya mboga tu.
 
Wako nje kwa dhamana hiyo y 2bl? Au labda wamegezewa masharti? Huoni kwamba watahojiwa tena hiyo dhamana wamepata wapi watoe vielelezo???
Stay

Nchi Usanii mwingi hii mjomba. Juzi walisema wameyafunga maduka ya TSN, yanadaiwa na TRA kodi ya 200m. Na Jana nimenunua bidhaa TSN Mikocheni ambalo lilionyeshwa juzi likipigwa kufuli na TRA
 
Atakayetoa dhamana na yeye lazima achunguzwe aisee, 6 bil si mchezo ati.
 
kuna mtu alikuja hapa akatueleza jinsi viongozi wanavyotumia media ili kuweka trust na kuzishika akili za watanzania ili watanzania wapate kuamini ndivyo mambo yanavyokwenda lkn sivyo halivyo, wengi tulimkosoa sana, sasa inawezekanaje TSN ifungwe mchana na asubuhi inayofuata ifunguliwe.
 
Back
Top Bottom