Haya. NafutaFuta kauli yako kaka, JASHO LAKE!
Haya. NafutaFuta kauli yako kaka, JASHO LAKE!
Futa kauli yako kaka, JASHO LAKE!
Utakumbukwa kwa hiyo gari? Ndorobo
Daah ngoja niji-quote mwenyewe. Hivi hawa wezi wana-akili kweli?! yaan wanatuibia kodi kwenye ki ICD chao halafu wanakuja kutunyanyasa na vigari vya kinga jinga kwa pesa zetu wenyewe..?!Ndani zuri Sana, ila niwe honest, nje la kijinga. Sana
Tena ni watoroshaji wa makontena ICD.., WASHENZI SANA..Hakuna kufuta kauli hapa. Fanya research katika viwanda vyake uone jinsi vibarua wanavyolipwa kidogo. Miaka 3, 4 huajiriwi. Lazima watajirike kwa kukwepa kodi na kuwapunja wafanyakazi.
Mwacheni. Mungu amempa mema ya nchi
kwan hiyo gari ndani ina sehemu inatoa ubwabwa?
Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000.
Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa
Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa Bakhresa
Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000
Ni oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa
Bin Zubeiry aliionja kidogo
Mwingine mwenye gari kama hii Dar es Salaam nani?
Kutoka Manchester hadi Dar es Salaam-BIN ZUBEIRY
Ni Omar au Abubakar? All of them are smart dudes...how on earth did they get into this trap?