masssaiboi
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 636
- 132
zamu ya Afrika
Africa walishamaliza kipindi cha yule Mghana
zamu ya Afrika
Nilichoandika kipi huelewi? maana Kiti cha ukatibu mkuu wa UN haijalishi wa kutoka bara gani kinachoangaliwa ni uwezo wa Mtu kwani utaratibu wake upo wazi ni kufuata tu kama rail na treni.
Boutros Boutros Ghali alitokea Egypt ambayo ipo Africa na Akapokewa na Koffi Anani wa Ghana Africa pia ndio kwa Sasa Ban akampokea.
mkuuu
Javier Perez de cuella alikuwa mperu nadhani zamu ya Assia
Nomination ya Boutros Boutros Ghali katika AU mkuu sina kumbukumbu zake maana nakumbuka sana haswa kwa Jina lake nilikuwa naliona la Ajabu ajabu and secondly jina la pili linafanana na la kwanza! third Alikuwa Muafrica ndio maana sikuweza kumsahahu
Umetumwa kusema ujinga!!!Kikwete anaweza kabisa kushika hiyo nafasi.Ni viongozi wa Afrika tu kupendekeza hilo jina lake.Na akipendekezwa atashinda kwa kura nyingi mno kuliko kiongozi yeyote aliyewahi kugombea nafasi hiyo.Sababu hatakuwa na shida kuungwa mkono na mabara mengine ya Asia,Ulaya na Marekani kwani huko kote viongozi wake wanamkubali vizuri mno