Search results

  1. Kyodowe

    IGP Sirro, kuna Polisi watatu Tip Top barabara ya kuelekea Mabibo wanakusanya rushwa

    Kuna vijana wako watatu, WP wawili na mwanaume mmoja mwembamba. Wako hapa TipTop barabara ya kuelekea Mabibo. Wanakusanya rushwa kwenye daladala na bajaji kama vile konda anavyokusanya nauli kwenye daladala. WP kazi yao ni kusimamisha halafu konda wa kukusanya ni huyo mwanaume. Nilikuwa...
  2. Kyodowe

    Ni ipi tafsiri ya neno Mwendazake kwa kiingereza?

    Wakuu awamu ya sita hii acha kazi iendelee Back to the point. Nipo hapa naandika kathesis kangu, ila nataka kutumia hili neno la mwendazake. Sasa hii lugha ya malkia imenivimbia nimeshindwa kutafsiri hili neno. Ebu mwenye tafsiri sahihi anishushie hapa ili tuendelee kuyajenga. Umuofia kwenu
  3. Kyodowe

    Nyalandu kuvua gwanda kesho kikao cha CCM

    Aliwahi kusema Nyerere ukizoea kula nyama ya watu ni ngumu kuacha. Kesho Nyalandu kuzindua rasmi kampeni ya kuunga juhudi awamu ya sita na amewasili rasmi huko jijini Dodoma leo majira ya saa kumi na dakika 45 jioni. Je! Baada ya Nyalandu kufungua dirisha hiyo kesho, tutarajie ni akina nani...
  4. Kyodowe

    Kuhusu mfumuko wa bei

    Umuofia kweni. Hivi sukari, diesel na cement ikipanda bei ndiyo zinazoashiria mfumuko wa bei? Huku mtaani bidhaa nyingi zinapanda bei kimya kimya lakini naona maisha yanasonga kama kawaida. Huko kwenu kumekaaje wadau.
  5. Kyodowe

    Ufafanuzi kutoka kwa Bidada FaizaFoxy

    Wakuu umuofia kwenu, Bi mkubwa Faizafoxy umekuwa mpolee, mkimyaa. Au unajiandaa kwa uchaguzi mwakani, viti maalum. Hata kutoa ka-pole ka kizushi kwa yaliyotokea Moro? Anyway, picha inajieleza vizuri! Kwa nyongeza tu ukiitizama vizuri hiyo picha, kwa mujibu wa mavazi utagundua kuna wanawake wa...
  6. Kyodowe

    Mjue Lawrence Malong Lual Yor; mastermind wa fake gold deal

    Wakuu umuofia kwenu, Sijui huyu jamaa mtamkumbuka! Aliwahi kutrend sana kwenye mitandao ya kijamii kwa picha zake za anasa akiwa amelalia madollar kitandani na nyingine akiwa mabegi ya dollar kwenye private jet. To cut story short. Ukisikia ujambazi beyond talent ndiyo huu. Eti mtu kaibiwa...
  7. Kyodowe

    Wanawake wa Tabora wageuka gumzo Kenya

    Nimeisoma hii story kuhusu wanawake mkoani Tabora kuwa wanatumia ugoro uliochanganywa na magadi ili kuzuia hamu ya tendo la ndoa.Wakenya wameuchangamkia hii ishu sana kwa comment za kuzushi. Hii imekaaje kwa wenyeji wa mkoa huu? Link yenyewe hii hapa Why Tanzanian women are applying tobacco on...
  8. Kyodowe

    Battle; admin vs members

    Mpaka sasa ngoma imeshamlalia admini. Mpaka kesho naona adimin ataachiwa kipopo cha x-mass na mwaka mpya. Kuelekea 2019, hatupendagi ujinga sisi. Nawasilisha
  9. Kyodowe

    Nawaza tu: Ya Mo Dewji kujirudia tena

    Wallah ndoto ni mbaya sana, Eti nawaza wale wasiojulikana waliomteka Mo Dewji wanataka kutengeneza movie nyingine. This time, ni kuhusu mzee wa kaya. Dah, ndoto nyingine mbaya sana, Allah anisamehe kwa kweli
  10. Kyodowe

    Najipanga kustaafu

    Wadau umuofia kwenu Kama walivyowahi kunena 'No longer at easy'. Anyway, nimetafakari ni sijui ni nani wa kuja kunitetea au kunifariji. Nimeamua kustaafu rasmi. Umuofia kwenu, Ni mimi Kyodowe
  11. Kyodowe

    Kwanini Marekani inapandisha ushuru wa bidhaa kutoka Uchina

    Je ni sahihi Marekani kuongeza ushuru kwa bidhaa za Uchina? Na kama ni hivyo, kwa nini ilenge zaidi bidhaa za chuma? Kwa takwimu zinavyoonesha, siyo siri tena kwamba nchi ya Uchina ndiye mzalishaji mkubwa wa bidhaa za chuma duniani kwa sasa. Uchina inazalisha zaidi ya nusu ya chuma...
  12. Kyodowe

    Museveni aagiza serikali kuajiri wataalam wa sayansi

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Raisi M7 amekataa kuteua mkuu wa idara ya taifa ya mipango na kuagiza kuajiriwa kwa wataalamu wa fani za sayansi katika wizara na idara zake ili kuweza kuchochea ukuaji wa uchumi wa viwanda. Katika kuliweka hilo sawa M7 alisema 'Anawezaje mchumi kuandaa mpango...
  13. Kyodowe

    Pale unaposikia mtoto kapoozwa na pipi

    Kati ya mambo yaliyowahi kutia fora enzi za ukoloni na historia ya kuanzishwa kwa koloni la Tanganyika, ni ile mikataba feki iliyotengenezwa na Karl Peters na kisha kusainiwa na machifu bila hata wao kujua ni nini kilichoandikwa. Kuna uthibitisho usioukwa na shaka kuwa, machifu hawakuelewa...
  14. Kyodowe

    Nchi zenye viwango vidogo vya sumu, Tanzania yashika nafasi ya pili

    Ni tafiti uliofanywa hivi karibuni na umebaini kuwa Tanzania inashika nafasi ya pili kwa nchi zenye viwango vidogo vya sumu huku nafasi ya kwanza ikishikiliwa na Kenya. N:B Watu wa idara ya utalii jueni huu ni mtaji na hii ndiyo fursa yenu. Kenya, Mozambique, Tanzania, Ethiopia and Cameroon...
  15. Kyodowe

    Hili la supermarket limekaaje

    Kwanza nieleweke kama kawaida wikiendi huwa napenda kufanya shopping kwa ajili ya kukimbiza ka-wiki. Cha kushangaza toka imeanza awamu hii ya5 kila ninapokuwa nimefanya manunuzi kwenye hizi supermarket zetu lazima niambulie kabidhaa kamoja fake/expired. Nimekuwa najitahidi kuhama hama kwenye...
  16. Kyodowe

    Wale wenye avatar ya kiduku

    Bramo, ikinyunyi, e2n, alibakari Nimegundua hawa members wenye avatar ya braza Kim a.k.a Mzee wa Kiduku ndiyo last generation ya great thinkers humu JF... Thinkers halafu muje huku muniambie kwa nini munampenda kiduku...
  17. Kyodowe

    Cueva de las manos: The cave of hands

    This is what made me to know Argentina: Just one year ago, I met an Argentinian in one of the workshop that we attended. At the end of his presentation, he made a fantastic elaboration of the caves (shown below) to the masses and really he was able to turn the topic from science to history. Many...
  18. Kyodowe

    Hi JF!

    Hi 2u! Please! nikaribisheniii
Back
Top Bottom